Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Messages
16,830
Points
2,000
Annael

Annael

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2011
16,830 2,000
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
 
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,988
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,988 2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,988
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,988 2,000
But in Nairobi we have 2 of them,how many are there in dar ??
Leave alone that, hii issue ya buildings with 20+ floors tulishawapa za uso kitambo sana kwenye huu uza wakati waliitisha battle. Huyo mhurumie tu
 
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,988
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,988 2,000
Get rid of Kenyatas and Kikuyus and Kalenjinis in your Government,
Remove those Common names of Railas and Uhurutos handshakes, Otherwise Tanzania will set standards for you in just 5 years.
If you haven't set anything in 50+ years how will you do it in 5 years? Miujiza ziliisha wakati wa Yesu
 
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
3,147
Points
2,000
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
3,147 2,000
kibera has less than 500k people
kibera has a population of 250k at its highest
and it has electricity
so continue moaning
Acha uongo dogo,kibera ina over 1000,000 slum dwellers,na haina umeme katu,tangu lini mabanda ya kuku yakawa na stima???
 

Attachments:

Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Messages
3,147
Points
2,000
Papi Chulo

Papi Chulo

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2018
3,147 2,000
Sijakataa kuna slums Nairobi kwanza nyingi sana but at the same time the middle class is big and from the numbers, its much bigger than that of Dar. Which is what most Kenyans are arguing hapa. Unless you come with a different figure from a reputable source. No offense intended. This is typical Nairobi below, like any other city in a developed country.
View attachment 1227371
View attachment 1227366
View attachment 1227370
Developed city gani inakuwa na slum ka utitiri.. halafu acha uongo number of millionaire Nairobi si kubwa ukizingatia nusu ya wakazi wa nairobi wanaishi kwa slums
 
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
459
Points
225
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
459 225
Naona bado mnatapatapa mnashindwa kuleta nyumba za dar zinazofanania na kibera au mathare au mmezikosa google tuwambie mkatafutie sehemu nyingine
dar es slum is a mega slumpolis like kinshasa and lagos
i dont need to google that
tanzania is a ldc slums are envitable
 
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2017
Messages
3,988
Points
2,000
Nicxie

Nicxie

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2017
3,988 2,000
Cha kushangaza waTanganyika wanajaribu kubishana na bado hata old Nairobi CBD hawajaifikia. Nielezeni kama huo si ujinga wa hali ya juu amabao hauna ubishi. Hata mkiimba Kibera mara mia tunajua maskini wa Kibera anaeza afford kuishi Tengeta na Mbezi lakini wa huko labda aje kuishi Ruiru na Juja (40km from Nairobi) 🀣🀣

View attachment 1227206

View attachment 1227212
View attachment 1227216
Weee jama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kibera ana afford kuu kaa tegeta??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani wakenya mna ndoto zenu wenyewe embu paonene tegeta πŸ‘‡πŸ½... sio tegeta naijua mimi.. sio wale wanao kaa kwenye mabati yale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jama wewe... Nicxie kaa kutuma nini πŸ˜‚πŸ˜‚ na hao wote unao waona ni private homes.. and their own land..πŸ˜‚πŸ˜‚ that’s how rich we are

View attachment 1227346View attachment 1227346

Tena mbezi ndo wala hutakiwi kuitaja.., hakuna mtu wa anaeishi kwenye apartment apo kenya anaweza kupa affords huku πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½.. wakenya bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mna nifuraishaga sana πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

View attachment 1227350View attachment 1227355

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ you fulls y’all just don’t know what you messing with.. na I dare you kunitumia sehemu apo Nairobi ambapo unapa a lot of individuals house nyingi namna hiyo.. na apo ata sijaenda pande za masaki huko.. na oysterbay[/QUOTE]
[/QUOTE]
Za Nairobi ndio hizi hapa
1929639_Screenshot_20191009-183939.png
1929741_Screenshot_20191009-183810.png
1929848_Screenshot_20191009-183506.png
1929924_Screenshot_20191009-183444.png
1930072_Screenshot_20191009-183232.png
1930171_Screenshot_20191009-183135.png
 
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
459
Points
225
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
459 225
According to your opinion which based on hatred, but the fact is, slums are in nairobi only... the whole world knows! don't bother
i dont do opinions i do facts
dar es slums has slums allover
so continue living in denial
 
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
459
Points
225
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
459 225
Acha uongo dogo,kibera ina over 1000,000 slum dwellers,na haina umeme katu,tangu lini mabanda ya kuku yakawa na stima???
kibera has less than 300k people boy
electricity is all over kibera
and your source is an NGO
 
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Messages
459
Points
225
T

TYWIN LANNISTER

JF-Expert Member
Joined Oct 31, 2018
459 225
Weee jama weweπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kibera ana afford kuu kaa tegeta??πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yani wakenya mna ndoto zenu wenyewe embu paonene tegeta πŸ‘‡πŸ½... sio tegeta naijua mimi.. sio wale wanao kaa kwenye mabati yale πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ we jama wewe... Nicxie kaa kutuma nini πŸ˜‚πŸ˜‚ na hao wote unao waona ni private homes.. and their own land..πŸ˜‚πŸ˜‚ that’s how rich we are

View attachment 1227346View attachment 1227346

Tena mbezi ndo wala hutakiwi kuitaja.., hakuna mtu wa anaeishi kwenye apartment apo kenya anaweza kupa affords huku πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½.. wakenya bwana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mna nifuraishaga sana πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½πŸ‘‡πŸ½

View attachment 1227350View attachment 1227355

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ you fulls y’all just don’t know what you messing with.. na I dare you kunitumia sehemu apo Nairobi ambapo unapa a lot of individuals house nyingi namna hiyo.. na apo ata sijaenda pande za masaki huko.. na oysterbay
[/QUOTE]
Za Nairobi ndio hizi hapa
View attachment 1227797View attachment 1227799View attachment 1227800View attachment 1227801View attachment 1227802View attachment 1227804
[/QUOTE]

slums all over
tanzanians like applying lipstick to pigs
apart from posta dar is slums allover
 

Forum statistics

Threads 1,343,109
Members 514,937
Posts 32,774,067
Top