Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Another Mchina shit project. Project worth $600M alafu mchina anakusanya toll kwa miaka 30, kidogo kidogo kila kitu Nairobi kitakuwa chini ya mchina, kaanza na reli sasa barabara.....the only public good in Nairobi itabakia sunlight na air
Ungetuonyesha yenu badala ya kutoa povu ndoo nzima πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Another Mchina shit project. Project worth $600M alafu mchina anakusanya toll kwa miaka 30, kidogo kidogo kila kitu Nairobi kitakuwa chini ya mchina, kaanza na reli sasa barabara.....the only public good in Nairobi itabakia sunlight na air
Baada ya magu kuwanyima bagamoyo port ambayo wangeimiliki kwa miaka 99 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee wachina sio watu wazuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hivi kati ya wakenya na watanzania ni nani anafuatilia news sa wenzake sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ humu huwa mnafungua nyuzi ngapi kuhusu Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚kibao,
Mpo kwenye forum ya watanzania kufuatilia news za watanzania,
Mbona sizijui forums zenu.
stop fooling yourself. we are not following Tanzanian news. if that were the case, we would be on a Tanzanian section but here we are here on a Kenyan section. Tafuta comment yangu Tanzanian section ukipata uniambie
 
Unajua kwanini tupo kwenye hii section?
Mlitengenezewa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu Mnawashwa washwa mkaanza kupost news za Tz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tanzania inawapa sleepless πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You can't eat and drink anything bila kufanya comparison na Tz πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hatuwajui wasanii wenu ila mmejazana kwenye social networks za wasanii wetu mkishoboka "WAPI LIKES ZA WAKENYA" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
"LIKE ZA WAKENYA ZICOME"
 
If Tanzania was giving us sleepless nights at least I would have known even the name of your vice president, the second in command. But here you are, you know even the names of our deputy governors and very soon mtajua hadi MCAs πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Ungetuonyesha yenu badala ya kutoa povu ndoo nzima

We had Dar Port Chalinze Expressway project ambayo ilikuwa iwe PPP kama hiyo yenu, Serikali ikaifutilia mbali na inatafuta namna nyingine ya kuiendeleza. Nyie endeleeni kuuza nchi yenu kwa Wachina. Sisi toll yetu ya Kigamboni anasimamia NSSF mkwanja unabaki home, miaka 30 mchina akimaliza hiyo barabara itakuwa ya kuvunjwa mjenge nyingine
 
Baada ya magu kuwanyima bagamoyo port ambayo wangeimiliki kwa miaka 99 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee wachina sio watu wazuri πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You didn't have the money and technical know-how to fund that shit. Stop beating around the bush!
 
We had Dar Port Chalinze Expressway project ambayo ilikuwa iwe PPP kama hiyo yenu, Serikali ikaifutilia mbali na inatafuta namna nyingine ya kuiendeleza. Nyie endeleeni kuuza nchi yenu kwa Wachina. Sisi toll yetu ya Kigamboni anasimamia NSSF mkwanja unabaki home, miaka 30 mchina akimaliza hiyo barabara itakuwa ya kuvunjwa mjenge nyingine
Endeleeni kutafuta hiyo namna. Ikipatikana mtujuze
 
If Tanzania was giving us sleepless nights at least I would have known even the name of your vice president, the second in command. But here you are, you know even the names of our deputy governors and very soon mtajua hadi MCAs πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mca ndo nini hiyo au ni tusi jipya la wakikuyu,
Tanzania inawapa sleepless kweli kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
You can't eat anything bila kuiwaza Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hata hiyo chakula unayoshindwa kuila kutokana na kunyimwa raha pia kinatoka Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
You didn't have the money and technical know-how to fund that shit. Stop beating around the bush!
Kwani mradi ulikuwa unajengwa na nani na nani ameupiga chini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mnaingia utumwani miaka thate hivi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ile siku mkenya ata comment tanzanian section dunia itaisha jomba
Unajua kwanini tupo kwenye hii section?
Mlitengenezewa hili jukwaa maalum kwa mambo ya kenya ila kwa sababu Mnawashwa washwa mkaanza kupost news za Tz
Tanzania inawapa sleepless
You can't eat and drink anything bila kufanya comparison na Tz
Hatuwajui wasanii wenu ila mmejazana kwenye social networks za wasanii wetu mkishoboka "WAPI LIKES ZA WAKENYA"
"LIKE ZA WAKENYA ZICOME"
 
Another Mchina shit project. Project worth $600M alafu mchina anakusanya toll kwa miaka 30, kidogo kidogo kila kitu Nairobi kitakuwa chini ya mchina, kaanza na reli sasa barabara.....the only public good in Nairobi itabakia sunlight na air
Endelea kulia Sana
Mlisema Mombasa port itachukuliwa bado tunangoja
 
Back
Top Bottom