Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Muache apingane na hilo pachiko...jamaa ywataka kunidanganya na wakati land act yenyewe inasema hvo...
Ywataka kuonyeshwa wapi pameandikwa wanakodishiwa na wakati tayari ardhi unaimiliki kw mda flani..mtu km huyo haina faida uendelee nae...
Nimeamua kumuacha aendelee na mapambio...

Inawezekanaje nicxie ununue chombo chako dukani, halafu uambiwe baada ya miaka flani eti urudi dukani uka ki renew, hicho kitakuwa chako kwel au umefanya kupewa km msaada tu.... eti sababu kuna watu huuza mashamba kiholela[emoji1787][emoji1787] kwn mtu ukiwa na hati utababaika na nn kuhusu shamba lako...si atakayeuziwa shauri yake atajipanga
These are masters in denial. Atakuzungusha kwelikweli. Hadi mambo yaliyowazi yanapingwa!
 
Heheeeee!!watumwa katika ubora wao...ndio manake nikasema, hawa jamaa wanapenda sana kupiga domo tu...ardhi bongo ni ya ccm chini ya kinara wao jiwe...wao wapo wapo tu,
Yani ukitaka unafanya kupewa then unaishi km squater vile[emoji119][emoji119][emoji119]
 
Hadishii njoo uongo njoo utamukolea teh te teee !!! Kwahiyo wewe unaweza kununua ardhi !!?? Usinitake nicheke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…