Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

hauna aibu ukisema 'form 4 leaver' ??? karibu Kenya uone mtoto yuko baby class ushangae.
Wewe unafikiri uku tz kuna mkazo sana kwenye lugha ya malkia?ukute mtu kamaliza degree kabisa lakini kuongea anauma maneno Ila mpe paper aandike proposal Au issue yoyotekwa kingereza utashangaa.....

Uyo mond anajitahid muacheni alpige izo broken hadi ajue
 
kama Rais wenu "Dr" JPM

dummy
 
wanaongea bLocken. sawa
 
Sasa yule mwanasayansi unaweza jifanananisha nae?we umesoma nn kwanza...ukute una degree ya maua
huyo ni mwanasayansi akiwa Tz pekeyake. akikuja Kenya io degree yake inakuwa revoked
 
huyo ni mwanasayansi akiwa Tz pekeyake. akikuja Kenya io degree yake inakuwa revoked
apo turkana?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...

Bro kumbe nawe grandiose patient not on medication !!

We umesoma degree ya maua nawe umesoma?jionee huruma
 
huyo ni mwanasayansi akiwa Tz pekeyake. akikuja Kenya io degree yake inakuwa revoked
kenya mataila kibao .......eti nayo yanajivunia lugha za watu......ha haa haaa kweli wakimbizi......wa karne hawa
 
Kiswahili yenyewe ilianzia Kenya.
ni kweli ila kiswahili kinachopendwa zaidi kenya na duniani kote ni kile tunachokizungumza na sisi watanzania.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa yule mwanasayansi unaweza jifanananisha nae?we umesoma nn kwanza...ukute una degree ya maua
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
The second tallest skyscraper on the African continent After carlton centre in Johannesburg.
BRITAM TOWER

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…