Battle: Dar es Salaam vs Nairobi



Wabishi ni nyie ambao hawawezi kudhubitisha madai yao hata moja. Kila kitu mnatoa kichwani na kuleta hapa bila kudhibitisha[/QUOTE]
[/QUOTE]
You have not proven anything there. Mwenzako alisema sisi hatuna mamlaka ya kumiliki ardhi Kenya. I wan you and your brothers and sisters to show me anywhere clearly written that Kenyans have no right to land ownership. What you have brought is totally unrelated to subject of discussion
 
Ardhi ya kenya ipo mikononi mwa wakora ndo maana wewe mwenyewe mpaka sasa umeishia kukakaa kwenye rent house

Only that you can't prove anything, too bad. Wewe endelea kukodisha ardhi ndani ya nchi yako kama mtumwa [/QUOTE]Inabidi watu kama ninyi ni wa kupuuza coz hamuelewi chochote kile
[/QUOTE]

Come on! You don't own land in Tanzania and this has been proven beyond any reasonable doubt here. The only thing you and your folks here own are two small balls hanging between your legs
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

 
Website yenyewe ni basic nikama ilitengezwa na HTML1, kwani hizo investments wanapeleka wapi kama hata kutengeza site ya WordPress na masaa 10 ni shida? UI na UX pekee ya hiyo site hata mtot wa high school anaweza tengeza ya maana. ama kwa sababu wanajua audience yao hawaelewi mahali technology imefika? shida nawaambia hamfanyi research kazi nikuimba tu hapa Kibra.
 
Kwani watu wanasikiliza website au wanasikiliza radio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Clouds media ni hatari yaani kenya hamtoweza kuifikia karne hii,
Content zao ni balaa ubunifu wa hali ya juu hadi radio za kenya wameanza kuiiga siku hizi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ukibisha nenda kamuulize my best friend mwalimu recho atakuambia vipoa tu.
 

Inamaana huwezi hata soma kitu wewe mwenyewe umeleta kama thibitisho na ujue inamaanisha nini!? Na imeandikwa kwa kiswahili, lugha mnayoienzi![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli Watanzania mko na shida shida si haba.
Taarifa uliyoleta ndio hii hapa

View attachment 1228325
Sasa hebu thibitisha yale madai yako ya awali kwamba wakenya hawamiliki ardhi. Hapo sitoki leo [emoji23] [emoji23]
[/QUOTE]Issue kama hiyo wanafanyiwa wageni wanapewa kulingana na muda.mtz hawezi kodishiwa ardhi yake tafakari upya ndo uje na hoja nyingine
[/QUOTE]

Siku ya nyani kufa kila mti huteleza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Read again the circled part in blue


 
Picasso once said "a good artist copies, a great artist steals." Wataiga kama wameona kuna audience iko underserved. Nilidhani we mtu kufikira kumbe uko shallow ivi?? sijui waishi dunia gani kama huoni umuhimu wa quality websites Tz. Nowanda its so hard to sell digital products in Tz aside from udaku wa instagram na YouTube
 
Picasso once said "a good artist copies, a great artist steals." Wataiga kama wameona kuna audience iko underserved. Nilidhani we mtu kufikira kumbe uko shallow ivi??
Sasa umejibu ujinga upi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo Sikiliza Cloud's fm online hapo alafu angalia content zao na ubora wa watangazaji wake kisha rudi usikilize radio zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa umejibu ujinga upi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Leo Sikiliza Cloud's fm online hapo alafu angalia content zao na ubora wa watangazaji wake kisha rudi usikilize radio zenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Studio ya clouds fm zenyewe zakueleza hakuna content wala pesa despite hao 17 million listeners. Audience yao ni watu washamba tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…