Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


This is the hell behind those shiny kijiko na nyama buildings 😂 😂
 
Wakenya wanatafuta slum za Dar kwa torch hawazioni,eti kuna mbukinya kaleta hii picha akiita slum,tangu lini nyumba zenye fence zikawa kwenye slum!
 

Attachments

  • IMG_20191009_191259_171.jpg
    170 KB · Views: 15
Yan awa majamaa n wa kuachan nao wamekosa cha kuonesha wao wanajua slums cjui n k2 gani na hapo walpo wanataman vbaya mno wangekuwa wanaishi tz coz uhkk wa ardhi upo sio kama kenya hawana ardh
Wakenya wanatafuta slum za Dar kwa torch hawazioni,eti kuna mbukinya kaleta hii picha akiita slum,tangu lini nyumba zenye fence zikawa kwenye slum!
 

By the way, In your Opinion What is Serikali?
 
Jamaa ywaumia kuskia kibera kuna umeme...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa ni wapi hii Nairobi hakuna umeme? I have been to several parts of Nairobi but I have never seen a place with no electricity. Achana na hawa, wanasau electricity access iko juu Kenya kushinda kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…