Nina dogo ana siku tatu toka asafiri tokea Mumbai by ATCL.Yani na ile kelele yote Kumbe ilikuwa tu ni toothless dog! In less than one month safari tayari imeshafika mwisho! [emoji23] [emoji23] Kweli Tanzania ni nchi ya viwonder. Naona sasa ikibeba tu mitungi za konyagi toka Dar kwenda mwanza
Na ile ya Mumbai imefika wapi? Ama bado inapumulia oxygen??
Advertisement
ATCL yasitisha safari za kwenda Afrika Kusini
Sunday October 6 2019
Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini kuanzia Oktoba 7, 2019 na abiria mbao tayari walikuwa wamekata tiketi kuanzia siku hizo watarudishiwa nauli zao.
[https://www]
BY Ephrahim Bahemu, Mwananchi ebahemu@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
ATCL yatangaza rasmi kusitisha safari za JohanessburgAfrika Kusini, abiria waliokuwa wamekata tiketi za safari ya kuanzia Oktoba 7, 2019 watarudishiwa nauli zao.
Advertisement
Dar es Salaam. Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) limesitisha rasmi safari zake kati ya Dar es Salaam na Johanessburg, Afrika Kusini kuanzia Oktoba 7, 2019 na abiria mbao tayari walikuwa wamekata tiketi kuanzia siku hizo watarudishiwa nauli zao.
Taarifa iliyotolewa na ATCL Oktoba 3, 2019 na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika hilo, Ladislaus Matindi iliwaelekeza mawakala wa tiketi wote kurejesha nauli za wateja hao ambao tayari walikuwa wamekata tiketi.
βSababu ni hiyo hiyo iliyoelezwa awali kama kungekuwa na nyingine tungeeleza na kama kutakuwa na la ziada tutaeleza hapo baadaye kama tulivyoeleza hili.β
βLakini tunajipanga tukishakuwa vizuri tutarejeaβ alisema Matindi alipoulizwa jana Jumamosi Oktoba 5, 2019 endapo kuna sababu ya kusitishwa kwa safari hizo tofauti na ile ya awali.
ATCL ambayo ilikuwa ikifanya safari hiyo mara nne kwa wiki (Jumatatu, Jumatano, Ijumaa na Jumapili) iliacha kufanya safari kati ya miji hiyo Agosti 23,2019 baada ya ndege yake aina ya Airbus A220-300 kuzuiliwa katika uwanja wa Oliver Tambo jiji Johanessburg kwa amri ya mahakama kuu ya Guateng.Baada ya takribani wiki mbili ndege hiyo iliachiwa huru kwa uamuzi wa mahakama.
Awali, ilielezwa baada ya kuachiwa kwa ndege hiyo safari zingeanza mara moja lakini siku moja baadaye Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe alisema Serikali imeamua kusitisha safari kwenda katika nchi hiyo kutokana machafuko yaliyokuwa yakiendelea dhidi ya wahamiaji kutoka Afrika (Xenophibia).
Hata hivyo, kwa kipindi chote Mkurugenzi Mkuu wa ATCL, Ladislausi Matindi alikuwa akisema safari hizo ambazo awali alizitaja kama chanzo kikubwa cha mapato ya shirika hilo zingerejea baada ya kuweka mambo sawa.
Aidha tangu Agosti 23, 2019 ATCL imekuwa ikisafirisha abiria wake wa Johanessburg kwa kutumia ndege za mashirika mengine ikiwemo South African Airways, Kenya Airways, Rwanda Air na Mengine.
Mkuu nilishawahi kuwaambia hawa wakenya Tsh elfu kumi ina uwezo wa kununua matunda mengi mno ya kujaza fridge wakanibishia πππNyie endeleeni na porojo zenu za makaratasi wakati ukweli tuna uwona sote sisi.. wakenya mnaa shida. You guys keep on coming with the stats za wenye nazo kenya mkithani ni za kwenu πππ.. jamani zameni ktn, citizen muone wakenya wanavyo lalamika hali ni mbaya.. raisi wenu wenyewe sikuizi mna muona walele wale tu wala rusha.. lakini utamuona anaflex huko kwa wanachi wake maskini. Siongei tu zameni youtube afu muangalie ziara za Uhuru.. afu kaangalie comment, itβs sad. Afu namwona mkenya anakuja huku anakuja na stats za washua akithani zina mfadisha yeye ππ.. Kenyans bwana. Mimi Tanzanian nikwa na one dollar nakula milo mitatu kwa siku. Jee kenya ukiwa na only one dollar una kula ata mlo mmoja kweli πππ. Afu mna kuja apa na gdp zenu mkithani itβs a big deal. Wakenya ninarudia tena mnaa shida sana na mnalijua hilo na hamuwezi ni fananisha na watanzania.. sisi tunaishi kwa raha na Iβm not make this up, thatβs the honest truth.
Yβall be blessed βπ½π
If your reason was to hold, I would expect to see at least one major Tanzanian company in Kenya. However, there's no so far which begs the question on what you meant by "Si watanzania tuna jiamini na tunajua tunaweza." Does it mean mnaweza kwa maneno? kwa sababu sisi tunasema na kutenda. Nikiwa Dar nilikuwa naona kampuni mob za kutoka SA na Kenya sijui shida ipo wapi kama si upungufu wa akili na bidii
Kweli mbaazi ikikosa matunda husingizia jua. Airlines from all over the world are going to South Africa lakini cha ajabu ni kwamba kwa ATCL Na Watanzania kwa jumla, hakuna usalama huko! After all the pomp and colour you treated us to mnafanya safari mbili tu kisha mnafunga virago! Aibu sana.Ndo maana mi nakwambia we akili yako ni ndogo sana!
Mimi nimekwambia KQ,rwandaair,na ATCL ni kampuni tatu tofauti,kila kampuni inaendesha shirika kwa kuzingatia mikakati ya shirika husika, ATCL wao wanaona south Africa hakuna usalama,wewe unasema mbona KQ na rwandaAir wanaenda?
Sasa KQ,rwandaAir wanahusiana vipi na ATCL???..KQ ndege zoooote wame-lease hata ikibomolewa huko sauzi,who cares??
Stop living in utopia and come back to reality. Eti "siku hizi we use our products"! What products wakati you still import more than you export! Nchi ambayo Bado ina import hadi chumvi na viberiti! Tanzania, just like kenya, is still miles away from being a self-reliant country so wake up from this dream and face the hard realitiesππππ nyie watu sijui ata niwambie nini πππ.. yβall soo dumb.. sasa mnathani sisi kutokua na major big company kenya ndo hatuwezi na hatuna maeendeleo au π€¦πΎββοΈπ€¦πΎββοΈ.nyie mme tangulia tu kuja huku. kwanza hizo ni private sectors it benefits them more than the countries it self. Watu wamekuja kutengeneza faida wewe..ππ unathani kwa bibi apo. Narudia tena βtuna jiamini na tunaweza!βna matunda yana onekana. Na nilisema hvyo kujibu swali na mjinga mmoja wa kenya ambaye alikua anaongelea maswala ya kushidana na soko la dunia. Kwaio mlitaka ni seme watanzania hatujiamini auπππ. Na sikuizi we use our own products manufactured in Tz. Azam kwenye sector ya vyakula na vinywaji he got it covered.. mo deuji pia ana vitu vyake. We promote our own.. Vice versa for the Kenyans who uses outside products mkidai soko huria πππ sasa kama huo sio ujinga one on one ni nini sasa .. eti maswala ya big companies ni Sawa na kuwa bash chinies kutokuwa na major big company in USA.. tf
Sauzi iko na siku ngapi tangu itoke huko? π π πNina dogo ana siku tatu toka asafiri tokea Mumbai by ATCL.
Povu jiiingi
Ndugu yangu, pesa yenu ya madafu haina thamani huku hata siku moja so wacha kujibamba na maneno hayana maanaMkuu nilishawahi kuwaambia hawa wakenya Tsh elfu kumi ina uwezo wa kununua matunda mengi mno ya kujaza fridge wakanibishia πππ
Stop living in utopia and come back to reality. Eti "siku hizi we use our products"! What products wakati you still import more than you export! Nchi ambayo Bado ina import hadi chumvi na viberiti! Tanzania, just like kenya, is still miles away from being a self-reliant country so wake up from this dream and face the hard realities
Usiwe unaangaika kuwajibu hizo mtu zenye uwezo mdogo wa kufikiri πππ siku hizi nawa ignore wabaki kuamini ujinga wao.Yoo we ndo upo kwenye utopia yako..πππππ.. viberiti mo Deuji got us covered tho sikuizi watu wengi wanatumia majiko ya gesi.. chumvi ndo usionge kabisa toka nipo mtoto chumvi tuna tumia za kwetu... sukari tuna mshukuru kilombero ππ.. we una sema nini wewe. Njoo uone sio una ongea tu apo... we jama weee ni muoongoooπππππnisha kuambia acha hunielewagi.. na tuta elewana tu
Ndugu yangu, pesa yenu ya madafu haina thamani huku hata siku moja so wacha kujibamba na maneno hayana maana
Ndo maana mi nakwambia we akili yako ni ndogo sana!
Mimi nimekwambia KQ,rwandaair,na ATCL ni kampuni tatu tofauti,kila kampuni inaendesha shirika kwa kuzingatia mikakati ya shirika husika, ATCL wao wanaona south Africa hakuna usalama,wewe unasema mbona KQ na rwandaAir wanaenda?
Sasa KQ,rwandaAir wanahusiana vipi na ATCL???..KQ ndege zoooote wame-lease hata ikibomolewa huko sauzi,who cares??
Stop living in utopia and come back to reality. Eti "siku hizi we use our products"! What products wakati you still import more than you export! Nchi ambayo Bado ina import hadi chumvi na viberiti! Tanzania, just like kenya, is still miles away from being a self-reliant country so wake up from this dream and face the hard realities
Did you do literature in high school? I used those items (chumvi na viberiti) as symbolism to mean that you still import even the most basic of things. Sadly, you've taken it so literally. Tanzania still imports most of the things used in everyday life so stop this arrogance you are displaying here.Yoo we ndo upo kwenye utopia yako..πππππ.. viberiti mo Deuji got us covered tho sikuizi watu wengi wanatumia majiko ya gesi.. chumvi ndo usionge kabisa toka nipo mtoto chumvi tuna tumia za kwetu... sukari tuna mshukuru kilombero ππ.. we una sema nini wewe. Njoo uone sio una ongea tu apo... we jama weee ni muoongoooπππππnisha kuambia acha hunielewagi.. na tuta elewana tu
Look at the way you are eating your own words! If you knew it's not about currency strength then why did you say you can buy more with TSH 20,000 than an average Kenyan would? It's about the price of goods and services, not currency strength. One item could be cheaper in Kenya but expensive in Tanzania and vice-versaIna thamani kwetu boya wewe ππππππ.. we currency ya china imepitwa kwa thamani na nchi nyingi tu lakini itβs the second if not the first powerful and leading country in the world... we jama weweπππ.,. you so dumb broo na kingine uwache uwongo ndo ninacho sisitizia sana πππ
Look at the way you are eating your own words! If you knew it's not about currency strength then why did you say you can buy more with TSH 20,000 than an average Kenyan would? It's about the price of goods and services, not currency strength. One item could be cheaper in Kenya but expensive in Tanzania and vice-versa