nyie wakenya kupika mjue wapi.....masuala ya mapishi mna copy kutoka dar(tanzania)Kitheri ndo????? Staple food ya Kenya ni sembe msee..na kunafood mob..ukitaka picha za food fungua trend
so which is bigger than the other between BBC and ntv?.,Ako Ntv Kenya na anashida msee ako BBC...aibu aibu aibu..sasa journalist watz wanajua ata twitter kweli
Ata iyo Quality sijui what..iko fake sanahio supermarket huoni jina hapo nani kaandika mall?????? 😀😀😀😀😀😀😀😀
😀😀😀😀😀😀😀😀😀 naona unajikuna panapowashaSasa unaanza kujivunia stations zingine before za kwenu....sasa kama Larry madowo ako na followers wengi kumshinda na ako kenya? Iyo ni aibu gani
tunacopy kupika nini?nyie wakenya kupika mjue wapi.....masuala ya mapishi mna copy kutoka dar(tanzania)
tena kwakukusaidia hio iko almost 40km from city center maana iko maeneo ya mbezi huko😀😀😀😀😀😀😀😀Ata iyo Quality sijui what..iko fake sana
nyie pamoja na mademu wenu woote wa kenya si wataalam wa mapishi..tunacopy kupika nini?
Toa evidence....propaganda ukianza kufuata inaonyesha uko chini buda
Umeshindwa kujibu sasa umeanza umbea.nyie pamoja na mademu wenu woote wa kenya si wataalam wa mapishi..
.
Kenyans on international scene is way ahead, hii argument wachana tu nayo.mna mtangazaji mwingine anayetangaza vyombo vya kimataifa mwenye idadi kubwa ya followers kuzidi yule edith?.[emoji23] [emoji23]
hatupangiwi picha za kutuma.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona kukosa form hapa..afadali mtume cbd tuu izi hotel zinakaa lamuu na viakula ni upuzi kuziweka huku
jibu kwanza swali langu nililokuuliza.Kenyans on international scene is way ahead, hii argument wachana tu nayo.