bado kazidiwa na salim kikeke.si nimekuonyesha james smart with over 200k followers on twitter.

huo siyo umbea niliwah kuwa na manzi wawili kutoka kwenu nikawapa nafasi ya kuingia jikoni ...aisee msosi uliotoka ni chakula kibaya hakina hata utamuUmeshindwa kujibu sasa umeanza umbea.
hii thread tangia jana mida ya saa 6 usiku haijawa rakiki kwao.tumewawekea picha zinaonyesha madhari mbalimbali mazuri ya dar ambayo hawakuwahi kuyatarajia.Hii kitu chukua Mombasa ,Malindi na Kenya nzima hutaiona

kwani uwongo huko ....hamjui kupika niliwahi kuwa na manzi wawili wakikenya kila mmjo kwa nafasi yake alipata bafasi ya kunipikia aisee huo msosi uliotoka hapo ni kituko ....sema sababu alikuwa ni manzi wangu nikamwambia mpenzi chakula kitamu ....wnikahifadhi moyoniWe hunaga cha maana








hii thread tangia jana mida ya saa 6 usiku haijawa rakiki kwao.tumewawekea picha zinaonyesha madhari mbalimbali mazuri ya dar ambayo hawakuwahi kuyatarajia.
walidhani dar ni magorofa tu wakasahau kuwa dar ipo jirani na indiani ocaen na ina maeneo mengi mazuri ya kula bata na kujivinjari kuzidi hata nairobi.
kwa hasira wanataka kutupangia tuweke picha za cbd.![]()
![]()
Wap walisha zoea kuweka Majengo ya Mafisadi tu na wanasiasa
ukiwaambia waweke wanako ishi wakenya Asili wanakimbia

mi huwaga namwambiaga mzee wa iphone7 dar ni balaa zaidi ya dubai wasitulinganishe na kanairobi kao kabovuhii thread tangia jana mida ya saa 6 usiku haijawa rakiki kwao.tumewawekea picha zinaonyesha madhari mbalimbali mazuri ya dar ambayo hawakuwahi kuyatarajia.
walidhani dar ni magorofa tu wakasahau kuwa dar ipo jirani na indiani ocaen na ina maeneo mengi mazuri ya kula bata na kujivinjari kuzidi hata nairobi.
kwa hasira wanataka kutupangia tuweke picha za cbd.![]()
![]()