Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I have uploaded so many photos here from Google Earth, google maps, normal camera photos and many others. So shida yako haswa ni nini? Google earth images show real time image of a particular place; they are not uploaded images as you imply here. So picha nilozoleta hapa za google earth ni images ambazo hata saa hii ukienda kwenye hizo maeneo, utapata yako hivyo hivyo vile google earth inazitoa ila nyinyi mnasemaga eti zimebolewa. Endeleeni kukaba kila kitu ila ukweli itabaki pale pale
 
Endelea kuruka ruka,
Na kuwadanganya wanakibera wenzako kwa kusema picha za alamy stock photos ni za Google Earth
Huku ukichange gear hewani [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu mbona hujaedit Google Map uhamishe slums, bado nasubiria [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndo alivyo huyu, anapga pcha moja moja tuone kama kuna vijengo, wakat ss tunapga aerial view inaonesha kila kitu
Of course tunajua jinsi mnavyogopa aerial views. Kama nadanganya, hebu niletee picha za aerial views za mitaa zenu za kawaida (not rich neighbourhoods?) vile nilileta za eastlands two days ago. Am waiting
 
Wewe kilaza where did I say alamy stock photos ni za google earth? πŸ˜‚ πŸ˜‚ Don't you know what google earth images are?
Is this an alamy stock photo?
 
Of course it can't come anywhere near Karen, Muthaiga, Runda, Spring Valley Gigiri, Kyuna and the likes
Select mojawapo ipambane na masaki...
Kwa taarifa yako hakuna yakuweza
 
Tafadhali fuatilia comment na picha za kuanzia nilipoanzia kukufundisha adabu [emoji23][emoji23][emoji23] usianzie katikati tafadhali maana nikiamua kukukomalia utafunga account yako ya JF.
Wewe kilaza where did I say alamy stock photos ni za google earth? [emoji23] [emoji23] Don't you know what google earth images are?
Is this an alamy stock photo?
View attachment 1217219
 
Kuna mtu kakosa picha...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Swimming pools na viti hata majumbani vipo....Una weka na parking lotsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Uwezo wako wakufikili umeishia hapo...πŸ€”πŸ€”πŸ€”
Wewe na wenzako wote milishawapa ruhusa ya kuleta picha za kibera as you always do kwa sababu mnajua hamna cha kutuonyesha
 
Sasa nyie mngekuwa na vitu vya kuonesha mbona mnarudia rudia picha zile zile kila siku [emoji23][emoji23][emoji23] mkichange kidogo ni filters tu.
Wewe na wenzako wote milishawapa ruhusa ya kuleta picha za kibera as you always do kwa sababu mnajua hamna cha kutuonyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…