Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taja hizo hotel na hizo building otherwise ni uzushi tu.
I read somewhere that hata pale CBD yao most buildings are not connected to a central sewer line system. I was surprised that some of their leading five-star hotels are not connected to a sewer system as well and discharge raw sewage into the ocean during the rainy season! That's the New York of Africa for you
 
Kama hii ni first na ile ya Dodoma je? Akili za wabongo ni tatizo sasa unajenga gold refinery Dodoma hakuna hata mgodi na ni mbali sana na Mbeya au Katavi na Drc congo kwenye migodi hamuoni vyenye akili hamna? Kwa nini refinery ya Dodoma isingejengwa Mbeya ili ihudhmie Drc,Mozambique,Malawi,Zambia na regions za kusini on the other part hiyo ya Geita ihudumie lake zone yote,neiboring regions and country?
HII NI PUMBA YA MWAKA
 
Unadhani Mimi mgeni na hizo taarifa za njaa Kenya embu acha ujinga kujisifu wakati ndugu zenu wanakufa
Nimekuambia njaa sio kitu geni. Tumepambana nayo hizi miaka zote na licha ya hizo changamoto bado mnasoma number yetu
 
Niiiice, UPANGA EAST, Business Hub is loading.... Nilicho observe,kuanzia selender bridge,city center kariakoo mpk Ilala sehemu kubwa sana ya majengo yanamilikiwa na NHC kwa namna hiyo ni rahisi sana kwa serikali kubadili matumizi ya maeneo hayo pale itakapobidi tunashusha tunapandisha madude, mfano ni hiyo project ya CRDB HQ.Safi
 
At JNIA, the Region’s Largest and Modern Airport
IMG_9388.JPG
IMG_9391.JPG
 

Attachments

  • IMG_9384.JPG
    IMG_9384.JPG
    421.5 KB · Views: 21
Back
Top Bottom