huyo mzee wa mifi ana mapepo[emoji23]Nimekwambia onyesha hiyo mifi ulivyo unga kwa Smart TV kama nilivyo unga smart tv p
Nimemwambia akinionyesha na hama JF...[emoji23][emoji23][emoji23] mimi nataka nione hiyo mifi inavyokuwa connected kwenye Smart TV[emoji23][emoji23][emoji23]
hakuna unalojua kuhusu hayo maeneo .......hizo eneo gari lolote linapita na kuna mitaa fresh kabisa .....ukiwa chini utabaki unatumbus macho.....Wewe nayo kutumia kichwa kama kofia.....your ugly squalid uswazi city is not worth our time..ama unaishi kwa hizo nyumba za kale[emoji1787]
Bring the evidence.. otherwise porojo as usualAccording to your stupid brain....we accept your hypothesis. But factfully Nairobi has a gdp the size of Tanzania...
Kibera ain't a part of Nairobi!Lol.........i normally know if you cornered you throw the kibera tag.....
Leta ulichoambiwa ulete,au ndo tunaishiHiyo ukuta yako haileti shangwe. Tafuta rangi ingine upake
Ni mpako wa pili au ......😂😂
Jangwani is no more my friendTanzanians be lecturing us about water[emoji1787]View attachment 1213534View attachment 1213535View attachment 1213536View attachment 1213537
Inajulikana kama dongle au modem.. Ndio majina yaliyozoeleka huku.Anawezaje kutumia kitu hajui inaexist? Am very sure hata wewe hapo hujui ni nini
hakuna unalojua kuhusu hayo maeneo .......hizo eneo gari lolote linapita na kuna mitaa fresh kabisa .....ukiwa chini utabaki unatumbus macho.....
mkenya yeyote aliyefika dar na kutembea ndiyo huwa anaelewa vizuri hapo kupo na uzuri gani si wewe wa mapicha picha
Footbridges are meant for pedestrians when crossing busy roads to avoid unnecessary accidents. It's even funny how you call that natumizi mabaya ya fedha just because you don't have them there in uswazi. Saa zingine sio vizuri kuongea mambo yasiyo na mantiki kisa uzalendo, inatia hurumainawezekana hata london mmeipita kwa kuwa na wingi wa hizo footbridge [emoji23][emoji23]ila hili jiji la dar si jiji la foot bridge mzee foot bridge haziwekwi kila sehemu ili mradi tu na huwa hatuna desturi ya kuwa na matumizi mabovu ya kifedha.... na isitoshe tupo vizuri kwa upande wa transiportation system kuliko nyinyi hivyo muwe wapole
kwanza foot bridge ni nini na imekuingizia sh.ngapi huko kenya hebu wacha ushamba...
Modem and mifi are two different things. Wacha kulazimisha mamboInajulikana kama dongle au modem.. Ndio majina yaliyozoeleka huku.
Mmeshafanya dredging hapo kisumu port kuongeza kina ili meli ziweze kufika? Na vipi oil jetty yake iko na mwaka na nusu bila kutumika ni hasara tu? Hadi zile pump mumeshabadili coz zilikuwa local and of poor standard.[emoji108][emoji108]
KISUMU
Refurbished Kisumu Port attracts investors
Ships at the Kisumu Port. [Source/Kenya Ports Authority/Twitter]
8 hours ago, by Curtis Otieno
The refurbishment and revival of the Kisumu Port has already began bringing in benefits for the county, after the country of Belarus expressed interest in investing in the county.
Is there information that you would like Kenyans to know? Tell Hivisasa and we will share with the world. Click here to submit.
According to Belarus ambassador to Kenya Mr Dmitry Kuptel, Belarus has been attracted by Kisumu's promising economic growth.
Speaking on Saturday, Mr Kuptel said that investors from his country have been attracted by the revival of the port and the ongoing uplift of the entire city of Kisumu.
He added that they have identified the agricultural sector and heavy machinery manufacturing as the lucrative fields.
Consequently, he noted, his country will set up a tractors' assembling plant in Kisumu, which will as well produce boat spare parts and fishing gear.
“This plant, besides plugging the demand gap for machinery, will also produce associated hardware for fishing gear, boat spare parts and act as a crucial conduit for technology exchange between the partner countries,” said Mr Kuptel .
He spoke in the company of area Deputy Governor Mathews Owilli and officials from the Kenya National Chamber of Commerce.
On the side of the county leadership, Owilli pledged the county government's readiness to support the Belarus' initiative, adding that it will make Kisumu more lucrative to investors.
Then why do you increase your capacity if you don't anticipate increased traffic? Debating with you guys income hell of a thingFact
Take it or not
Na matumizi yake ni tofauti pia? Au device ndio tofauti?Modem and mifi are two different things. Wacha kulazimisha mambo
Shida ya maji haijawai kuisha na ndo the richest city hyo 90% gdp iko mkonon mwa watu5Sio tano tena na sasa ni kumi tena🤣🤣[emoji116][emoji116]
Failed state
Italy, Cyprus,Greece neio style zao hizo na hata mitaa mingine gari haipiti. Ila kusafiWakenya wamekariri mji majengo lazma yapangwe kwenye mstari. Basi waite na hii miji ya Italy kuwa ni slums.View attachment 1213584View attachment 1213585View attachment 1213586View attachment 1213588View attachment 1213590
Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
Zipo Manzese,Buguruni huku kote Uswazi. Dar barabara kubwa zina traffic lights almost every km so sehemu za kuvuka zipo karibu. Kama along brt every stop ina pedestrian crossing zone.Footbridges are meant for pedestrians when crossing busy roads to avoid unnecessary accidents. It's even funny how you call that natumizi mabaya ya fedha just because you don't have them there in uswazi. Saa zingine sio vizuri kuongea mambo yasiyo na mantiki kisa uzalendo, inatia huruma