THE BOILER ROOM
JF-Expert Member
- Sep 17, 2018
- 1,054
- 3,212
Mkuu turefushe tu uchumi wetu miji hii itabadilika mpk utashangaa!!!!.Mifano iko mingi sana.... Popote kwny amani upendo, ndoto za kuona mabadiliko makubwa kbs katika nchi yetu, kuweka mipango thabiti kuitekeleza kwa ushuhuda wa matokeo. Amiiiin!!!!!!.siyo majengo y Dar utafikiri ya kufugia kuku toka singida,mfano lile jogoo house magomeni kwenye majkao makuu ya TLP
Tupush hii curve iende juu tuachane na uoga wa kushift along the curve!!!! Wachumi watanisoma!!! LolMkuu turefushe tu uchumi wetu miji hii itabadilika mpk utashangaa!!!!.Mifano iko mingi sana.... Popote kwny amani upendo, ndoto za kuona mabadiliko makubwa kbs katika nchi yetu, kuweka mipango thabiti kuitekeleza kwa ushuhuda wa matokeo. Amiiiin!!!!!!.
Uchumi kwa raisi yupi?Mkuu turefushe tu uchumi wetu miji hii itabadilika mpk utashangaa!!!!.Mifano iko mingi sana.... Popote kwny amani upendo, ndoto za kuona mabadiliko makubwa kbs katika nchi yetu, kuweka mipango thabiti kuitekeleza kwa ushuhuda wa matokeo. Amiiiin!!!!!!.
Duh! Sikutarajia hili. Iweje tena na wenzako wanasema Dar watu huishi kwenye "dream houses"? Kumbe ni vibanda vya kuku tu!siyo majengo y Dar utafikiri ya kufugia kuku toka singida,mfano lile jogoo house magomeni kwenye majkao makuu ya TLP
Uchumi kwa raisi yupi?
uchumi wa kuwapa wageni miradi mikubwa na kuwalipa kwa fedha za kigeni
Yaani watu wa CHADEMA nyie kazi yenu ni kuponda kila kitu cha Tanzania sijui ndio siasa ya wapi hio.
dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shameDuh! Sikutarajia hili. Iweje tena na wenzako wanasema Dar watu huishi kwenye "dream houses"? Kumbe ni vibanda vya kuku tu!
dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shame
baada ya kujisaidia kachambe, wewe nani kakwambia mimi ni CHADEMA, tanzania tuna vyama 19 na vyote vina wafuasi, kama chadema si tishio, imekufa, haipo mbona kila mtu akizungumza neno tofauti na "mungu" mnasema ni CHADEMA?Yaani watu wa CHADEMA nyie kazi yenu ni kuponda kila kitu cha Tanzania sijui ndio siasa ya wapi hio.
Alafu kwa hali hii wapewe nchi waongoze kweli [emoji23][emoji23][emoji23]
Kisa wanaichukia serikali basi wameamua kuichukia hadi na nchi.
wewe upo wapi muraa, nahisi unakaa ushetu, Dar inanuka kinyesi, ukipit salender bridge kama ni mgeni lazma utapike,Kwa sababu unaichukia serikali ndio eti uongee uwongo kiasi hichi au kuna watu unawafaidisha [emoji23][emoji23][emoji23]
baada ya kujisaidia kachambe, wewe nani kakwambia mimi ni CHADEMA, tanzania tuna vyama 19 na vyote vina wafuasi, kama chadema si tishio, imekufa, haipo mbona kila mtu akizungumza neno tofauti na "mungu" mnasema ni CHADEMA?
hata wewe sijui ni nyumbu wa ccm ama cuf,
wewe upo wapi muraa, nahisi unakaa ushetu, Dar inanuka kinyesi, ukipit salender bridge kama ni mgeni lazma utapike,
uswahilini kama mwanayamala, mikocheni a, maeneo ya clouds, makao makuuya jkt kuingia msasani club kuna mitaro ya kinyesi fresh naingia baharini , watu wanatapisha chemba zao , ndio maana tunampenda MAGUFULI KWA KUPELEKA SERIKALI DODOMA.
huna exposure, umezali huko machimbo lumo, nyumba ya udongo, mwisho wako kariakoo, unadhani kwa wenzetu wchafu kama nyie hapo dar.Dar ipo juu na itabaki kuwa juu hata kama wewe hutaki. Na neno lako sio sheria. Hapo Dar huishi peke yako huna cha kutuambia.
Dar ipo juu na itabaki kuwa juu hata kama wewe hutaki. Na neno lako sio sheria. Hapo Dar huishi peke yako huna cha kutuambia.
Aaaah WE JAMAAAA WE MUONGO AU MCHAWI AMA MNAFIKI.dream houses, huko masaki, mikocheni , mbezi sinza kuna vinyesi "fresh" kwenye mitaro, huko posta na kariakoo mavi yanatiririka mitaroni, watu wanakanyaga kabisa , its shame
Bob Dar hauishi peke ako.huna exposure, umezali huko machimbo lumo, nyumba ya udongo, mwisho wako kariakoo, unadhani kwa wenzetu wchafu kama nyie hapo dar.