Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapo kunajengwa bonge la Beaches mithili ya copacabana, nimeona features zake ni balaa, kutakuwa na waterparks kubwa za kutisha, restaurants, public showers, different sports complexes, parking za kutosha na facilities nyingi
Eee bwana eeeh!!!!!!!!
Wacha tusubiri
 
Hiyo bado ni kibera kijana. Najua unataka kuona vibanda kwa sababu vibanda vya kibera ndio kitu cha kipekee kutoka Nairobi mnaweza linganisha nayo Dar is slum
Bahat mbaya hatuna slums Dar.
Ninyi kubalini muna human national park basi.
 
Achana na huyo kilaza. Ni ushabiki na uzalendo ndio zimempumbaza. And he has the audacity to mention sewer system while the whole of Dar only 10% of the city is connected to the sewer line. Hata hiyo cbd yao sehemu nyingi sana hayajakuwa connected, mtindo ni ule wa pit latrine. Allow them to mention kibera coz it's the only thing from Nairobi they can compare with Dar
 
Wacha kuokota okota picha [emoji23][emoji23][emoji23] embu tembelea tandale ya sasa hivi ujionee,
Lakini kama unapost ili ujipe matumaini endelea kuokota okota tu sio mbaya.
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Na tutazidi kuziokota. Kama hii hapa tumeokota Congo πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…