Jiji la kisasa linafaa kuendana na skyline ya maana la sivyo itakuwa underdog
Wanajenga majengo marefu halafu watu kwenda kufanya kazi kwenye majengo hayo wanapanda matatu.Unazingua wew kuna miji mikubwa mingi tu na haina skyline kubwa miundombinu kwanza then investment za majengo zianze ata hvyo it doesnt mean tutachil tu bila kujenga, majengo yatashushwa tu
Hilo apo, 35 floors na pemben ake ni 33 floorsNa your dad kama unabisha onyesha new tall building being U/C
Wanajenga majengo marefu halafu watu kwenda kufanya kazi kwenye majengo hayo wanapanda matatu.
Ikulu haizuii majengo marefu CBD ni pale tu unapojenga ndani ya eneo lilikatazwa ambapo CBD ipo mbali hata ikiulu ikihamia Dodoma bado katazo litabaki maana ile Ikulu itabaki![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa washkaji wanahisi kama tunajiweka juu yao kumbe wala hatuna shida bali ni wao wanaona jinsi dar inavyowaka adi wanahisi its a threat. Majengo marefu ya private yanajengwa kule moroko victoria to makumbusho nmeskia ndo new cbd, huku posta majengo marefu hayaruhusiwi zaidi ya majengo ya serikali tu kwasababu ya ikulu, ambayo iko kati ya mji. Majengo marefu posta yatajaa ikulu ikitolewa pale city center kwenda dodoma,
My suggestion is, Ikulu ikihamia Dodoma, naomba Mungu wabadilishe hilo jengo kuwa either museum au city hall. Halafu golf course pembeni iwe city park, barabara ya Barack Obama drive miaka ijayo iendelee halafu iunganishwe na undersea tunnel ifike hadi kigamboni badala ya daraja. Kwasababu eneo la hapo kivukoni halitapitiwa na daraja, wanaweza kuweka kivutio kwenye waterfront kama Ferris wheel ambapo tutapata views za Kigamboni International financial district 😍 😍 na baadae, wanaweza kufanya waterfront development kisutu, kama kujenga shops, bars, restaurants, public spaces etc. Dar will be superb! we just need moneyyyyyyyyyy.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hawa washkaji wanahisi kama tunajiweka juu yao kumbe wala hatuna shida bali ni wao wanaona jinsi dar inavyowaka adi wanahisi its a threat. Majengo marefu ya private yanajengwa kule moroko victoria to makumbusho nmeskia ndo new cbd, huku posta majengo marefu hayaruhusiwi zaidi ya majengo ya serikali tu kwasababu ya ikulu, ambayo iko kati ya mji. Majengo marefu posta yatajaa ikulu ikitolewa pale city center kwenda dodoma,
Wazee wa 💄💄💄💄💄BRT phase 2
20.3km
U/C
Mbagala to Posta
And JKT to Magomeni
Work inafanyika ..we paint no pink shitView attachment 1206330View attachment 1206331
naona tuna utouch glass sasa iviHilo apo, 35 floors na pemben ake ni 33 floorsView attachment 1206378
Toka Kibera, nenda Europe uone majiji ya kisasa. Utajiona ulivyo zumbukuku.Jiji la kisasa linafaa kuendana na skyline ya maana la sivyo itakuwa underdog
bora umemchana anahisi maopen space au sehemu inayoonekana box view ndiyo iliyopangika hajui kama 99,% ya miji iliyoendelea huwa na muonekano kama huu na hiyo yote kwasababu yakujengeka sanaToka Kibera, nenda Europe uone majiji ya kisasa. Utajiona ulivyo zumbukuku.
Interchange is more than 1 flyover kwenye intersecrion sijui wana plan gan ..hta kma ni tunnel frsh tuBadala ya kujenga interchange unazungumzia flyover,na huko upcountry towns kama Mbeya wajenge nini? Dar should have world class interchange hamuoni Nairobi? Poor you
Ukitoka Uhasibu kama unatoka Mbagala next kituo ni Wokovu af panafata hapo JKT ( ilipo shule ya sekondari Jitegemee ) kuna round about inaelekea Keko kupitia DUCE so ile road ita stretch kutokea VETA ambapo according to tulivoambiwa kutakua na flyover pamoja na pale Uhasibunifungue uelewa kidogo, JKT ipo sehem gan kwenye hio barabara?
Jamaa washamba sana.. watakwambia hapo ni kama Eldoret. Sasa akifika Berlin sijui ata semaje.bora umemchana anahisi maopen space au sehemu inayoonekana box view ndiyo iliyopangika hajui kama 99,% ya miji iliyoendelea huwa na muonekano kama huu na hiyo yote kwasababu yakujengeka sana View attachment 1206469
Jkt pale jitegemee ndo nlichomaanisha kwenda changome kuja kawawa road mpka magomeni ..na nyngne itaenda posta na gerezaninifungue uelewa kidogo, JKT ipo sehem gan kwenye hio barabara?
Alfu nafikiria kuwa flyovers zitakuwa ni pedestrian ila ngoja tuoneUkitoka Uhasibu kama unatoka Mbagala next kituo ni Wokovu af panafata hapo JKT ( ilipo shule ya sekondari Jitegemee ) kuna round about inaelekea Keko kupitia DUCE so ile road ita stretch kutokea VETA ambapo according to tulivoambiwa kutakua na flyover pamoja na pale Uhasibu
So from there VETA traffic lights itaongoza hadi Karume, Boma, Msimbazi, Kigogo hadi kukutana na mwendokasi Magomeni pale
Af kumbuka DUCE kutakua na feeder station as well as Kwa Azizi na Mission
Wamesema flyovers, siyo foot bridges. Halafu hizi flyover ni cheap sana. Nauhakika Mpaka Magu anatoka Dar zitakua zaidi ya 10.Alfu nafikiria kuwa flyovers zitakuwa ni pedestrian ila ngoja tuone
London imepangwa thobora umemchana anahisi maopen space au sehemu inayoonekana box view ndiyo iliyopangika hajui kama 99,% ya miji iliyoendelea huwa na muonekano kama huu na hiyo yote kwasababu yakujengeka sana View attachment 1206469