Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mkuu hapo umemuuwa....yaani umemuonyesha ni jinsi gani nairobi ilivyokijiji.....bado city yao ipo open jiji lao ni lakiboya sana
 
Bora useme wewe, na co london peke ake, majiji makubwa mengi tu ya ulaya hayajapangiliwa kiivo kama makunya wanavojidai, na bado wapo vzur ile mbaya
 
Huyo mwehu atakwambia hapo chini hamna barabara wakati kuna motorways zimekatiza hapo,kuna flyovers kila junction,kuna trains zinakatiza juu na chini ya ardhi. Hizo anazoringia yeye ni estates hapo London ni council estates wanakaa watu wa chini kabisa
 
Bora useme wewe, na co london peke ake, majiji makubwa mengi tu ya ulaya hayajapangiliwa kiivo kama makunya wanavojidai, na bado wapo vzur ile mbaya
nairobi bado haijaendelea kimakazi ndiyo msana city yao imepwaya
 
It's called foreign investment into a country they believe in, an economy worthy of investment.
Nairobi owned by foreigners by the way,kenyans live in korogocho,dandora,kariobange and the greatest kibera..
Can you imagine!?..how 2.5 mil people dwell in kibera??? unfortunately, they share a kibanda as a toilet??
 
Prove that 2.5mil people live in Kibera.
Nairobi owned by foreigners by the way,kenyans live in korogocho,dandora,kariobange and the greatest kibera..
Can you imagine!?..how 2.5 mil people dwell in kibera??? unfortunately, they share a kibanda as a toilet??
 
Mlimani city ina hadhi zote za kuitwa mall.

BTW malls ni mambo ya kizamani, siku hizi huku duniani malls zinafungwa kwa kasi ya ajabu, watu wananunua vitu kwenye mitandao.
Na hata huko mitandaoni bado hampo. Mnajikokota kila mahali
 
Tunaringia kwa sababu nyinyi hamna Kama hizo. What you have down there are uswazi that you stupidly call dream houses erected in every little available space bila mpangilio. London is a world-class city, Nairobi isn't. so why are you even comparing Nairobi with London?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…