Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Manzese Kwa Mfuga Mbwa hii, cheki ilivo na vijigorofa vya kuzugia kama Ngara

Af kuna wadau wanataka kufananisha Kibera na Manzese, daaah

Picha imepigwa kutoka Shekilango
Sehemu kuwa na ghorofa sio hoja. Hata Kariobangi manayosema ni slum 90% za nyumba huko ni magorofa, tena ndefu kushinda hizo vigorofa viwili vitatu ninazoona hapo.
 
Manzese ndio hyo hyo
😂 😂
Screenshot_20190907-161137.png
 
Bro manzese kuna majengo makubwa eti, hoteli za kutosha hahah kule sio kibera eti
Hivi Wewe unajua skyscraper ni nini? You need to google the meaning of the word skyscraper badala ya kujitia aibu
 
Hivi Wewe unajua skyscraper ni nini? You need to google the meaning of the word skyscraper badala ya kujitia aibu
Cjui maana yake kwa kingereza ila kwa kiswahili yamaanisha ghorofa, kwahivyo basi manzese kuna magorofa ya aino zote na hoteli pia.
 
Watu wengine bhna, asa hii ni picha ama ramani? Hiz aerial view photos za umbali huu ata ukipga nairobi itakua kama kijiji, weka picha ionekane
Za Nairobi ni hizi (zote za eastlands). Do you see any resemblance?
Screenshot_20190810-225312.png
Screenshot_20190811-005923.png
Screenshot_20190810-224941.png
Screenshot_20190806-213131.png
Screenshot_20190801-133847.png
Screenshot_20190801-115541.png
Screenshot_20190801-134655.png
Screenshot_20190907-163731.png
Screenshot_20190907-163510.png
 
Attachments

  • Screenshot_20190812-005452.png
    Screenshot_20190812-005452.png
    379.8 KB · Views: 34
Ahaha we jamaa bhna, kwahyo umechukua ile ya manzese unalinganisha na hii yenu ya town na maeneo ya kishua, tafuta aerial view ya kibera ndo ufananishe na manzese sawa, hizi ulizotuma apo juu ufananishe za Dar town na maeneo ya kishua yenye estates kama masaki
 
Cjui maana yake kwa kingereza ila kwa kiswahili yamaanisha ghorofa, kwahivyo basi manzese kuna magorofa ya aino zote na hoteli pia.
Kwa hivyo hata nyumba ya ghorofa mbili au tatu ni skyscraper 😂 😂 😂 Yani bora tu ni ghorofa basi tayali ni skyscraper? Ignorance is a disease, that's all I can say. Hujui unachosema hata kidogo
PhotoGrid_1567864137375.jpg
 
Ahaha we jamaa bhna, kwahyo umechukua ile ya manzese unalinganisha na hii yenu ya town na maeneo ya kishua, tafuta aerial view ya kibera ndo ufananishe na manzese sawa, hizi ulizotuma apo juu ufananishe za Dar town na maeneo ya kishua yenye estates kama masaki
😂 😂 😂 Kweli Nairobi mnaiogopa, ni ushabiki na uzalendo tu ndio inawasumbua. Hayo sio maeneo ya town wala sio maeneo ya kishua kama ulivyosema. Hapo ni eastlands (just a part of it) where the majority of Nairobians live. Maeneo za kishua zipo tena nyingi sana, ukitaka nitakuletea. Lakini kwa sasa, wacha Nikuletee kibera ulioitisha. It's a very small area measuring just 2.5 square kilometres but blown out of proportion by Tanzanians who think it covers a third of Nairobi!
Screenshot_20190907-170404.png
 
Does dar have any high class area considering masaki and oysterbay are like donholm in eastlands
We've Mathare, Pipeline, Korogocho, Kisumu Ndogo etc

And the big bro one is Kibera

How do you feel now!!!?
 
A drastic turn because I give you a taste of your medicine, the bitter truth that you can't gulp down your throat leaving you with no option but to spew insults and hatred. There's more in store for you, keep 'em coming 😂 😂
So you say.
 
Kwa hivyo hata nyumba ya ghorofa mbili au tatu ni skyscraper 😂 😂 😂 Yani bora tu ni ghorofa basi tayali ni skyscraper? Ignorance is a disease, that's all I can say. Hujui unachosema hata kidogo
View attachment 1200837
Usitake advantage ya mtu kwasababu unafikiri kuwa unajua sana. Mtu Tanzania akisema ghorofa anaweza kumaanisha nyumba ya kuishi au jengo refu pia. Inategemeana na mazingira mnayozungumzia.
 
😂 😂 😂 Kweli Nairobi mnaiogopa, ni ushabiki na uzalendo tu ndio inawasumbua. Hayo sio maeneo ya town wala sio maeneo ya kishua kama ulivyosema. Hapo ni eastlands (just a part of it) where the majority of Nairobians live. Maeneo za kishua zipo tena nyingi sana, ukitaka nitakuletea. Lakini kwa sasa, wacha Nikuletee kibera ulioitisha. It's a very small area measuring just 2.5 square kilometres but blown out of proportion by Tanzanians who think it covers a third of Nairobi!
View attachment 1200845
Zoom in you stupid coward. We aren't idiots like you are.
 
We ndo mpuuzi, ushajua manzese ni sehem ya watu maskini, unataka ghorofa mia au? Kenya nzima hamna goropha ya floor 36. Em vunjeni hyo barrier ya gorofa 36 tuliolieka TZ ndo ubishane kuhusu ghorofa ndefu
Kwa hivyo hata nyumba ya ghorofa mbili au tatu ni skyscraper [emoji23] [emoji23] [emoji23] Yani bora tu ni ghorofa basi tayali ni skyscraper? Ignorance is a disease, that's all I can say. Hujui unachosema hata kidogo

Nenda kwe dictionary cheki maana ya skyscrapper in swahili utaambiwa ni ghorofa, nenda google kaandke neno ghorofa kwa kingereza utaambiwa ni skyscrapper, mim nilimanisha ghorofa na sijasema ghorofa ya floor ngap bali ghorofa peke ake bwege wew unajikuta unajua kumbe huna lolote
 
Back
Top Bottom