Godwin Gen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2017
- 1,309
- 2,277
Hawa jamaa akili zao wanazijua wenyeweHuyo mwehu atakwambia hapo chini hamna barabara wakati kuna motorways zimekatiza hapo,kuna flyovers kila junction,kuna trains zinakatiza juu na chini ya ardhi. Hizo anazoringia yeye ni estates hapo London ni council estates wanakaa watu wa chini kabisa