Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mbona sijaona mahali popost pametajwa nenore unplanned settlement kwa hiyo taarifa yako? All am seeing is informal settlement and slums. You must be replying with a lot of emotions. Cool down and get back to me later
 
Unasikitisha sana mwanamama.
Mbagala huwez kuta kuna mifereji imetapakaa uchafu ama kuna flying toilet km kibera.
Nadhan huelewi maana ya slums.

Mbagala hakuna nyumba za mabati km kibera unaelewa ww mwanamke?????
Hyo ni kariobangi slum nioneshe rami hapo nioneshe tarmac road hapo.

Umeiona mbagala kwa chini inavyopendeza???
Nitafutie nyumba za mabati tupu km za kariobangi.

Mgumu kuelewa.
 
Mbona sijaona mahali popost pametajwa nenore unplanned settlement kwa hiyo taarifa yako? All am seeing is informal settlement and slums. You must be replying with a lot of emotions. Cool down and get back to me later
Ushaanzaa kupagawa.
Unplanned ndio informal mwanamama weweee!!!!
Informal settlemnts ndio unplanned settlemnts au umekaa kukariri tu kuwa informal ni informal na unplanned ni unplanned.
 
Kila nyumba mbagala imejengwa kwa tofali na imeezekwa bati ina madirisha mazuri tu na kila nyumba ina choo.

Kibera watu 100s wana share choo kimoja nyumba za mabati madirisha ya kutoboa.
We unaweza kupafananisha na Mbagala ???
Wap panafaa kuitwa slums???.

Mkiambiwa hamkufika mbagala mnaropoka mnabisha.
Hapo chini nakuekea pics za Mbagala kijichi,Mbagala msikitini na mbagala chamazi zifananishe na kibera slums ama kariobangi.

Hyo ndiyo jinsi mbagala ilivyo hakuna mbagala nyingine mbagala kwa sasa ndivyo ilivyo.

Umeona pic za chini huko za Kibera na kariobangi ?????
Sisi hatuishi vile hatuna maisha yale aisee japo kwetu uswazi.
Uswazi kwtu ni zile nyumba za hills pale juu niloziweka.

Asa tathminisha maana unaitajaga mbagala mbagala
 
Ushaanzaa kupagawa.
Unplanned ndio informal mwanamama weweee!!!!
Informal settlemnts ndio unplanned settlemnts au umekaa kukariri tu kuwa informal ni informal na unplanned ni unplanned.
 
Umeleta definition ya ku generalize unaleta maneno ya kujifariji.

Hzo chini ndio informal settlemnts zetu.

Nadhan utakua unayaona madirisha hapo ktk hzo pics.

Si unakaa unaleta aerial view ya Dar ikiwa nyumba zimekaa hovyo???!!!
Hasa zile nyumba ndio ziko namna hii asa nambie hapo unaziitaje slums kwa mfano????
 
Being selective in your postings won't save your ass, I can get even smarter in that area. Showing us a few decent places of Mbagala won't change the facts on the ground.
 
Lazima tu sasa iwe ya ku generalize kwa sababu you can't comprehend anything or maybe you are just too stubborn to agree with the reality. Just a typical bongolala
 
Unaokoteza picha za zamani unazileta hapa.
Unanichekesha.
Ajali ya moto imetokea kitambo kinyamma ww unaleta pics za ajali sasa hv.
Ngojea nikuletee pic za mbagala bus terminal za sasa uzione.
 
Embu atuambie kama mwezi huu amepita hayo maeneo za hizo picha alizotuma au ameokota okota tu picha au tumuwache aendelee kuokota okota ili ajifurahishe [emoji23][emoji23][emoji23]

Tusiongee snaaa.
Unaokoteza pics za zamani unaleta sasa?????

Halafu pic ulizoleta zilikua zimeandikwa for sale inamaana yale maeneo yalikua yakiuzwa.
Hiv unajua sasa hv pakoje baada ya kuuzwa????
Ngojea nikuletee za kisemvule.

Hyo hapo bus terminal sawa
 
Embu atuambie kama mwezi huu amepita hayo maeneo za hizo picha alizotuma au ameokota okota tu picha au tumuwache aendelee kuokota okota ili ajifurahishe [emoji23][emoji23][emoji23]
We mwache kaka nimpe dozi
 
Unaokoteza picha za zamani unazileta hapa.
Unanichekesha.
Ajali ya moto imetokea kitambo kinyamma ww unaleta pics za ajali sasa hv.
Ngojea nikuletee pic za mbagala bus terminal za sasa uzione.
Lazima tu kila kitu kibaya Dar iwe ya zamani. Tushawzoea. People who refute reports as recently as 2017 calling them old news
 
Halafu sasa ulivyo huna akili unajiumbua.
Pics ulizoleta kuna zilizoandikwa "upgrading in mbagala kijichi" inamaana panafanyiwa ukarabati na hyo imeanza toka 2017 mpk sasa kuna kijichi suburbs km nilivyoleta zile pic.
Kuna pics zingine ni za chipua group institute for social transformation na sio za mwaka huu inamaana tz tunajitahidi kuondoa makazi mabovu.
Na kuna maeneo mengine ni mashamba tu hayajaanza ht kujengwa km kisemvule ww unaniletea asa tutaziitaje informal setts mm hakuna makazi??
Maeneo mengine umeleta yanauzwa hayakaliwi na watu mostly.

Niletee pic km za hapo chini za kariobangi watu wanaenda kununua chakula mabanda ya nguruwe.
NataKA UNITAFUTIE SEHEM TZ IPO KM HVYO HAPA MBWA KAFA PEMBENI WATU TUNAISHI.
HALAFU NGOJEA NIKULETEE PICS ZA BUGURUNI MAANA HAUJUI KM IMESHAKUA SIKU HZ.
 
Lazima tu kila kitu kibaya Dar iwe ya zamani. Tushawzoea. People who refute reports as recently as 2017 calling them old news
Heee we mwanamama 2017 mpk 2019 ni mbali eti.

Ulileta pics za Kijichi upgrading za 2017 unajua saa hv kijichi ikoje????

Ipo hvyo saa hv na bado panakuwa upgraded kwa speed.

Huku watu wanajenga km vichaa.
Kigamboni ya 2017 ilikua mashamba ila ya sasa ooohooooo hapana chezea.
Yani one year tz tunabadilisha vingi au husikii kauli mbiu ya rais kuwa hapa kazi tu????

Two years unazaa mtoto na anaacha kunyonya utaitaje current issues ????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…