Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

master plan iliwekwa mifukoni kwasasa ndio inafanya kazi
 
Serikali inafeli hapo tu na hata mm hua nashindwa kuelewa apo wanakwama wap
 
inaonekana kama shule ulikuwa unanunua madarasa ndio maana ujui maana ya slum
 

Wakenya wengi ni wajinga wajinga,wachache tu ndo wanaojielewa

Nixcie and komora are the bombs
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] almaarufu middle income dream house?
Mimi pia Niko Tzn na Nina dream house lakini nimejenga kwenye planned plots,jibu swali langu hapo juu
Swali lip ww umeuliza.
Dream house wafananisha na nyumb za mabati za kibera???!!!!!
 
Pole kwa kukariri mpendwa maana Dar inarekebishwa taratibu taratibu hujatembea wilaya ya Kigambon ukaona pia.
We all know Kigamboni ni moja ya mitaa za wadosi Dar so let's not even go there.Ni Kama tu Karen au Runda hapa Nairobi ( according to Tanzanian standards that is, because kigamboni haiwezi nusa any high-end estate in nrb). Nairobi is not not a world-class city of course but ukweli ni kwamba mitaa nyingi za Nairobi zimepangwa vizuri, sio tu mitaa za wadosi kama inavyofanyika huko Dar. That's one of the major differences between Dar and Nairobi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…