Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Uko mwepesi sana kukana huo uchafu haiko karibu na cbd yenu ilhali unaamini kibera iko karibu aa upper hill na pengine hata haijawahi kanyaga Nairobi! Wewe pia Uliza Watanzania wenzako waliowahi kufika Nairobi watakuambia ukweli. Pia unaweza Ingia google earth ujiangalilie mwenyewe. There's a way picha inawezapigwa katika angle fulani sehemu mbili zionekane zimekaribiana ila in real sense ziko mbali sana. It is called photography. Below are Google images of kibera. See for yourself how far it is from upperhil
 
Nbo slum ni kibera tu?
 
Hii ndio Dar halisia a mish mash of unplanned developments wacha wasikudanganye . Nimeziona posts nyingi sana za watanzania hapa JF wakilalama kwamba Dar haina mipango na nyumba zinajengwa kiholela .
Baadhi ya hizo posts zao ndio hizi hapa. At least hawa hawajapumbazwa na uzalendo za kijinga
 
It's merely one month and already mshashindwa kulipa Kodi. Will ATCL manage to compete with KQ and Ethiopian airline? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ