Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,398
Next time usipende kujisifu na kitu si cha chako...it is so dangerous for a man..By the way what happened to ur mzizima towers.....inaoneka ikiwa fupi sana ukilinganisha na hizo tatu,nidhani ni more than 160m lakini nikama 130m hiviView attachment 1187866
By the way what happened to ur mzizima towers.....inaoneka ikiwa fupi sana ukilinganisha na hizo tatu,nidhani ni more than 160m lakini nikama 130m hiviView attachment 1187866
Nafahamu unaumia ila vumilia tu💉💉Hio building yenu ni fupi ata uki change angleView attachment 1187891
Hii picha hapa inadhihirisha ukweli kwamba CBD ya Dar es Salaam ni ndogo sana . Nairobi ile CBD yake ni pana sana ina business hubs tatu yaani old CBD , Westlands na Upperhill. Na bado Kilimani imeeanza kuwa the next one.By the way what happened to ur mzizima towers.....inaoneka ikiwa fupi sana ukilinganisha na hizo tatu,nidhani ni more than 160m lakini nikama 130m hiviView attachment 1187866
Dar is three times bigger than NairobiHii picha hapa inadhihirisha ukweli kwamba CBD ya Dar es Salaam ni ndogo sana . Nairobi ile CBD yake ni pana sana ina business hubs tatu yaani old CBD , Westlands na Upperhill. Na bado Kilimani imeeanza kuwa the next one.
It's too small even compared to westy walai,combine posta their main cbd + Kariakoo+ upanga is when u get the larger Westlands and still they want to be mentioned whenever Nairobi is mentionedHii picha hapa inadhihirisha ukweli kwamba CBD ya Dar es Salaam ni ndogo sana . Nairobi ile CBD yake ni pana sana ina business hubs tatu yaani old CBD , Westlands na Upperhill. Na bado Kilimani imeeanza kuwa the next one.
Acheni ujinga hebu angalia hii Picha kisha uniambie nn kimeleft apoIt's too small even compared to westy walai,combine posta their main cbd + Kariakoo+ upanga is when u get the larger Westlands and still they want to be mentioned whenever Nairobi is mentionedView attachment 1188031View attachment 1188032
Dar is three times bigger than Nairobi
Nairobi is most populated than Dar
It's too small even compared to westy walai,combine posta their main cbd + Kariakoo+ upanga is when u get the larger Westlands and still they want to be mentioned whenever Nairobi is mentionedView attachment 1188031View attachment 1188032
Acheni ujinga hebu angalia hii Picha kisha uniambie nn kimeleft apoView attachment 1188038
From a Kenyan point of view, even Kibera looks larger and more beautiful than Dar!You know that even kilimani looks larger than ur cbd?View attachment 1188039View attachment 1188040
Westlands yenyewe inaonekana ikiwa mbali sanaHalafu wewe huwezi Ku compare Picha hata kidogo, when it comes to distance
From a Kenyan point of view, even Kibera looks larger and more beautiful than Dar!
Naona vijana wa Kenya wamepagawa kweli kweli na hii picha [emoji16][emoji16]You know that even kilimani looks larger than ur cbd?View attachment 1188039View attachment 1188040
Sasa ongeza upanga, Kariakoo na ilala unapata hii ndogo kunduNaona vijana wa Kenya wamepagawa kweli kweli na hii picha [emoji16][emoji16]
Mnajua fika Dar ni kubwa kuliko NBO hivyo basi sitegemei uniambie eti CBD ya Dar ni ndogo kuliko za NBO though inaweza ikawa ila sio kwa size ya CBD ya Dar
Dar's CBD including Posta, Kivukoni, Upanga East, Mchafukoge those places ziko far apart
Hiyo picha kuna maeneo mengi sana hapo kati, au umesahau ku interpret photographs secondary....
Hiyo CBD ipo middle and background part of the photo kwahiyo lazima features zionekane ndogo, hushangai kwenye industries hapo kwanini zinaonekana kubwa..
Ukweli utabaki pale pale Dar is huge na CBD yake pia....
Af kuna wataalam hawapo hapo [emoji851][emoji851] Kijitonyama, Morocco, Along Sam Nujoma Rd, Kino, Mikocheni, Msasani Peninsula yote including Masaki, Oysterbay etc ko mjitathmini nyang'aus