Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mitaa flan tu hapa mjn ...View attachment 1183245
Imagine planning ingefanyika hivi across the country hata hizi dream house zingeleta maana sana.Tatizo Tzn watu wamekariri kwamba wakipima plot basi inafaa wakae watu wenye nafuu ya maisha ambao kimsingi ni wa kutafutiza majority wako kwenye squatters huko na dream houses zao
 
ila tatizo lilikuwa vifaa vilishikiliwa dar port!
 
Hii Meli mpya mweZi wa tano iko tayari
 
next time naomba useme jina la video inaitwaje (mim binafs) nikaicheck youtube!

most times nashindwa kuziplay humu! anyone anaejua namna ya kutatua hii ishu?!?! for reference, natumia iphone! thanks
Iphone gani unatumia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…