Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huyo fala kwani anaelewa basi, mda si mrefu atakuja na excuse ya kiingereza. Anafikiri sisi hatujui kiingereza wakati tunataka kiswahili kisambae duniani
 
Buda uwache ulimbukeni wa lugha kuna wafaransa, warusi, wachina, wakorea, japani n.k wasiojua au ambao hawako fluent linapokuja swala la kuzungumza kiingereza. tunawatoto ambao hata hwajaanza primary na wanabonga kiingereza bila shida, ndio kusema wasiendelee kusoma kisa wanajua kiingereza? Nina uhakika buda ningekutana na wewe face to face ni vichekesho maana siku zote mtu anakua limbukeni wa vitu ambavyo hajavijua fika
 
Wachina hawaongei kingereza lakini wanawapapasa wakenya balaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mambo na madirisha yametoka wapi? Nionyeshe mahali nimetaja dirisha. Mbona unaweweseka?
 
Hiv kweli huo ni udongo mwekundu?

Halafu huo umemwagwa katika process za ujenzi wa Barabara


Halafu punguza wivu
Hakuna aliye na wivu nanyi hata moja bro. Shida yenu ni kutokubaliana wa ukweli wa mambo, hata yale yaliyowazi kabisa bado mnapinga tu. It is called living in denial
 
You don't have to write all these just to explain a single point. kuna kitu inaitwa summary
 
Usifundishwe kivipi kwan ulizaliwa unakijua au????? Au unafkiri kujua kiingereza basi ndio msomi au???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Naweza fundishwa sikatai, lakini bongolala is the least person capable of doing that πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
We nyani ondoka hapo Uhuru park kwa WiFi ya bure ukalale kwa slum au unalala kwa box hapo Uhuru park
Najua Dar is slum haina public recreational parks size ya Uhuru Park so I understand your frustrations. Labda nikujulize tu, hapo kando yako Uhuru Park kuna another recreational park called Central Park just as big and beautiful as Uhuru Park. We can lend you Central Park for free for a whole month mupate mahali pa kutoa stress za kuishi ndani ya dream houses na kung'anga'na na hali ya maisha ngumu ya LDC πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Leo nimeshika makei za mibongolala zaidi ya ishirini wamebaki tu wakitoa povu na makamasi mithili ya ng'omve iliyo kichinjioni.

Good night πŸŒƒ from Nairobi, the most import city in this part of the world

 
Kuna tofauti kubwa kati ya povu na kuambiwa ukweli [emoji23][emoji23][emoji23] sijui kama Unajua hilo.
Leo nimeshika makei za mibongolala zaidi ya ishirini wamebaki tu wakitoa povu na makamasi mithili ya ng'omve iliyo kichinjioni.

Good night [emoji561] from Nairobi, the most import city in this part of the world

View attachment 1184106
 
Mambo na madirisha yametoka wapi? Nionyeshe mahali nimetaja dirisha. Mbona unaweweseka?
Ona ulivyoboya hujui hata unachopost: Au ndio hujui dirisha kwa kingereza linaetwaje nini?
 
Hizo tumekuletea bustani kwanza kwasababu tukiletea Beach utasema hamna bahari
Bustani Mnazi Mmoja Dar
Posta Mpya Dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…