tuusan
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 17,973
- 20,222
Project yao kubwa ilikua SGR to malaba ambayo imeota mbawaWakenya hawaoneshi project yoyote.
Project yao kubwa ilikua SGR to malaba ambayo imeota mbawaWakenya hawaoneshi project yoyote.
😆😆😆😆😆👇👇👇👇
So Watanzania wako na maisha gani mazuri when more than a half of your population live below poverty line?Issue ni kua millionaires au maisha mazuri?
Wanalazmisha biashara wakat ishaonekana wazi kua haiwezi kurudisha pesa ya mchina😆😆😆😆😆😆Mtambo wa chang'aa ukiendelea kutema!
Issue ni kua millionaires au maisha mazuri?
hiyo tarehe auI think you should tell that to Ichoboy. He's here 24/7
sawa tunaongoza ila utajiri wenu auwezi ondoa kibera shimoni mwa cityHta kw poverty level tanzania inaongoza katika ukanda huu...sasa sijui utasema nn[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sawa tunaongoza ila utajiri wenu auwezi ondoa kibera shimoni mwa city
kwahiyo unakubali kuwa kenya nafasi ya masikini na tajiri ni kubwaCool..kidogo wewe una argue kiutuzima..nimependa sana jinsi hii response...yako
🤣 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 1176879
is westlands a golf course? au unaingilia topic zisizokuhusu?westlands is huger than this shit
Maeneo ya Tanga haya
kwahiyo unakubali kuwa kenya nafasi ya masikini na tajiri ni kubwa
Iko na majizi na maskini wengi walionyonywa miaka mingiNadhani huo ukwel umekuingia...nairobi iko na middle class na millionaires wengi kushinda tanzania...get the fact bro...usishinde kuleta maneno ambayo hayatabadilisha uhalisia