Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Narudia tena, top ten ya majiji mazuri na yanayovutia Africa Dar ipo namba 3 huku Nairobi ikitupwa hadi namba 7 wich Means Nairobi haipo hata top 5 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tofaut ya newyok na dar au nairobi ni kwamba

Newyork ni developed city
Dar au nai ni developing city

Rudi shule ukasome wewe munaufala sana yani huwez kujua na kutambua kua newyork ipo first world country??



Na kitu kingine unapoambiwa dar ni kubwa mara tatu ya nairobi ni kwamba hakuna msongamano wa slums kama ilivo nairobi sijui unanielewa hapo,
 
Huo ni ujinga wako wewe. Mwenzio kapiga picha angle moja kazungumzia ukubwa wa mji. Kwa ujinga wako wa kuvamia bila kuelewa unatuletea habari za NY. Na nyie tumieni akili muendeleze Kibera iwe kama mnavyotamani iwe.
Ubaya wako umeingilia debate katikati hujui chanzo cha hii yote. Mwenzenu alilete screenshot ya size ya Dar dhidi ya size ya Nairobi na kusema tunalinganishaje Dar Na Nairobi wakati Dar size yake ni mara tatu ya Nairobi! That's why I brought that screenshot of NYC size just to prove a point to you guys. Najua common sense is not common to everyone. If you know you know
 
Narudia kukufundisha ww bwege newyork ni developed city na nairobi au dar both are developing city nenda ukasome kwanza urudi hapa ndio yaleyalr mulivowajinga munafananisha deni la japan na deni la kenya πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
And that still brings me back to my point: size doesn't matter at all. Nairobi, just like New York, may have a smaller area in square kilometres but has developed most of that area than Dar which has a bigger area but has done nothing with it compared to the small size that Nairobi has but has developed. That's what makes the difference so hii story ya size is neither here nor there. Najua kizungu itakupiga chenga hapa kama kawaida yako but jaribu uelewe
 
Eti Nai just like wooot [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tunapokueleza habari size let me show u size ya jiji linamaanisha nn

Nairobi ina population 4.5m

Dar ina population ya 5.5m

Fanya hesabu sasa mukiambiwa muna slum simunakataaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

Area ya dar 1590km sq

Nairobi ni 690km sq

Do calculations upate household per sq km alaf ujue nn maana ya slum na kwann nairobi kuna slum zinazoongoza dunia πŸ˜†πŸ˜†
 

So naorobi kuna maendeleo gani ya kuizidi dar hebu tueleze hapa πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani ww always hua ni pumpa kichwani
 
Nilishamuambia Nairobi haipo hata top 5 ya majiji mazuri Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
So naorobi kuna maendeleo gani ya kuizidi dar hebu tueleze hapa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yani ww always hua ni pumpa kichwani
 
Narudia tena, top ten ya majiji mazuri na yanayovutia Africa Dar ipo namba 3 huku Nairobi ikitupwa hadi namba 7 wich Means Nairobi haipo hata top 5 [emoji23][emoji23][emoji23]
You know what? I thought you were one of the enlightened guys here since I started engaging you but I bet I was wrong. I saw that link but posted about ranking of African and I wanted to respond but later on decided not to but now that you are bringing this up for the second time, I think I should.

First and foremost you need to know that the source of that information is a blog. A BLOG for crying out loud! How do you even start basing your argument on information sourced from a blog? Bloggers can write anything as long as it suits them and the intended market. The information is not based in research or personal experiences but opinion. That's it - opinion. I can even start a blog and say my small village town is the best in the world and people will still read it.
Lastly I just bumped on another source that ranks Nairobi ahead of Dar. Find time to read if you can can. Oh, just one one last thing, it is also a blog πŸ˜‚
Here is the link
 
Nilishamuambia Nairobi haipo hata top 5 ya majiji mazuri Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
Alafu ni mjinga kweli anazungumzia newyork wakati ile developed city Haijaanza maendeleo jana wala leo yani ujinga wao ni kujifananisha na nchi ziko miaka 300 mbele hata kuna kipindi fulani walijifananisha na japan kwenye debt yani nilicheka sanaπŸ˜†πŸ˜†
 
Fact is... Nairobi haipo hata top 5 ya majiji mazuri Africa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wakatuletea uwanja wa Barcelona eti wanadai ni wao
 
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wakatuletea uwanja wa Barcelona eti wanadai ni wao
Sio huo tu kuna mmoja alikua akiitwa wanjala aliiba ile jengo la nssf ya mwanza aka edit alaf alasema nairobi tukamdaka hapa mpaka leo hakurudiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Duh asee[emoji23][emoji23][emoji23]
Sio huo kuna mmoja alikua akiitwa wanjala aliiba ile jengo la nssf ya mwanza aka edit alaf alasema nairobi tukamdaka hapa mpaka leo hakurudi[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…