Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante sana kw kukasirika...[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Ila mwiba ni ule ule ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bwahaaaaa....uswazi hoyeeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ichoboy yani ywajiskia alie
Okota picha za google na ww useme dar[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] nimecheka sana
 
Leta za uswazi..middle class area
 
Uswazi middle class hoyeee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahahaha picha za jamii forum ndio unaleta hapa ya [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] yani kwa kifupu dar hakuna nyumba ambazo wall ni mabati , hakuna udongo mwekundu never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…