Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We umeona huo ni msitu??? Nairobi density yake iko sehemu ndogo sana,so utafananisha density ya dar na nairobi kweli???πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Wewe ubaya wako umepumbazwa na uzalendo za kijinga. Hiyo picha ya UDSM ingekuwa ni picha kutoka Nairobi, mngesema ni misitu lakini kwa vile iko Dar sio misitu. Talking of density, tunajua Dar is slum is only built in the cbd, nje ya hapo ni zile "dream houses" zako zenye mabati zilizochakaa
 
Natamani siku moja utembelee alafu usipande gari wala nn uprint kwa miguuu uone hayo mazingira ya UD na hicho kipupwe sidhani kama utatamani urudi tena kwenu
 
Cheki hyo bro...km ambae ni uwanja wa dhambi
 
Tatizo uzinduzi...hayo mengine tutaongelea badae...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Endelea kuumia na maumivu naskia mliposkia mumbai imeanza hamkuonekana humu ndani[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
Tena wameleta wenyewe kabla hatujaifata kibabe hahahaha
Tanzania ni mdogo wake kenya....hata nyinyi mnafahamu km ndio mnazinduka sai..ila bado mna maruerue ya usingizi...thats why donations tumewapa, mkajifanya wajuaji...mwisho mdogo kaona amuite akili kubwa amuonyeshe njia za ki hekma...

Na ujue mtoto mdogo hta hata akifanya nn huwez mchukulia serious..si lazima yeye akusaidie ila wewe endelea kumsaidia kisa hajui anachokifanya...akikua ataacha tu
 
Dumb
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…