Hahahhahahaha acha nidhamu ya uoga babaSitaki kupingana na wewe,huo ndo msumari moto kwenye donda lako,,acha sindano ikuingie kwelikweli.
Ingine ndo hiyo..ndo ujue this is kenya
kama hukutosheka na ya jana,mjeledi mwingine ndo huo
natumai imekuingia kweli kweli hadi umetoa usiahi ....Hahahhahahaha acha nidhamu ya uoga baba
Mlichonacho huku vinafanyika Mara mbili my friend kua mpole😀😀😀😀
Usichukie 😛😛😛😛
Hutaki kuingia uone ruvu dry port pamoja na kwale industrial area hahhahahha utakimbia wewe...unakua muoga kuingia YouTube bananatumai imekuingia kweli kweli hadi umetoa usiahi ....
Jichwa zidi kuweka mavumbini..Give me even 10 multinationals headquartered in Dar is slum...Leo nimefurahi kuona Tanzania inawapeleka speed kwelikweli sio kama 10 yrs zilizopita mlikua munatutukana munatukashifu but leo nimefurahi kuona adabu ipo sasa na heshima inazingatiwa.......nawashkuru kikwete na magufuli kwa kurudisha heshima kwa tanzania
Poor people,yaani hata hamna vipakatalishi,ni screenshots tu za china made phones....Tafuta apple ipad ndo niendelee na wewe or Google notebook kwanza ndo uwe ligi ya wakenyaTanzania ndo tunaanza bado asubuhi sana
View attachment 508106
Ndio maana nakwambia my friend punguza jazba tanzania imeinuka only 10 yrs of kikwete ndio bado asubuhi na kazi ndio zinaanza sasa....so kwenye utalii tayari tushanaliza kazi, viwanda ndo tumeanza kuwakanyaga, agriculture ndio kabisa usizungumze, umeme mwakani munaanza kununua umeme tanzania, mambo ya uchukuzi tunalala na nyie sahani moja sasa hvi etcJichwa zidi kuweka mavumbini..Give me even 10 multinationals headquartered in Dar is slum...
tumeanza,tutaanza,tutawashinda,wimbo ule ule.....zidi kuimba zumbukuku huku tumeshakamilisha na kuzidi.Thanx for the wazungus walitufanya tuwe jasiri na wajanja...Ndio maana nakwambia my friend punguza jazba tanzania imeinuka only 10 yrs of kikwete ndio bado asubuhi na kazi ndio zinaanza sasa....so kwenye utalii tayari tushanaliza kazi, viwanda ndo tumeanza kuwakanyaga, agriculture ndio kabisa usizungumze, umeme mwakani munaanza kununua umeme tanzania, mambo ya uchukuzi tunalala na nyie sahani moja sasa hvi etc
Subiri wewe acha wenge🙂🙂🙂🙂🙂🙂Poor people,yaani hata hamna vipakatalishi,ni screenshots tu za china made phones....Tafuta apple ipad ndo niendelee na wewe or Google notebook kwanza ndo uwe ligi ya wakenya
Jipe moyo lakini Kenyatta kuzuia ngano na LPG kutoka tanzania ujue dawa kaionja vzr..😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀tumeanza,tutaanza,tutawashinda,wimbo ule ule.....zidi kuimba zumbukuku huku tumeshakamilisha na kuzidi.Thanx for the wazungus walitufanya tuwe jasiri na wajanja...
Kwan we unajua natumia Simu gani??????Poor people,yaani hata hamna vipakatalishi,ni screenshots tu za china made phones....Tafuta apple ipad ndo niendelee na wewe or Google notebook kwanza ndo uwe ligi ya wakenya
Do u have pics???????
Ctaki porojo picha unazo?????
tumeanza,tutaanza,tutawashinda,wimbo ule ule.....zidi kuimba zumbukuku huku tumeshakamilisha na kuzidi.Thanx for the wazungus walitufanya tuwe jasiri na wajanja...