Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nimekupa 3 bado ww umebakia na KICC [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Kuna huu wa BOT pia mikutano muhimu hufanyika hapo

EAF78477-482E-4C97-AE6A-BD3FF12A585B-2272-000002148B23EEC4.jpg



IMG_1113.JPG



IMG_1115.JPG


IMG_1114.JPG



IMG_1112.JPG
 
Tzn ujinga umezidi yaani vijumba hivyo vya kawaida ndo rais anaenda kuzindua? Let people be serious huku ni kukosa kazi si ajabu out of 100 people graduate ni 1

Kumbuka ni nyumba wanazoisho polisi wa kawaida sasa niletee nyumba wanazoisho polisi wa kawaida kenya ukizipata nitag😆😆
 
Conference halls zipo nying na MKICC soon will be underconstruction
Kwa Dar
1.Mlimani City Conference Centre ndo Kubwa
2.JNICC
3.Kisenga Lapf
4.Bot conference centre
5.Golden Jubileee
6.Blue pearl conference centre

Kwa Arusha AiCc ndo bigest na wana jenga MKICC juzi naona wamesign Mou..finger crossed iwe na design kubwa kuliko ya zaman
 
Conference halls zipo nying na MKICC soon will be underconstruction
Kwa Dar
1.Mlimani City Conference Centre ndo Kubwa
2.JNICC
3.Kisenga Lapf
4.Bot conference centre
5.Golden Jubileee
6.Blue pearl conference centre

Kwa Arusha AiCc ndo bigest na wana jenga MKICC juzi naona wamesign Mou..finger crossed iwe na design kubwa kuliko ya zaman
Point of correction aicc ndio kubwa tanzania na second after kicc na ya nane in africa nazani na io mkicc itajengwa kijenge itakuwa biggest in ea nazani
 
Chombo hiki hapa kinarudi , Noma sana .
katika vitu ambavyo nimefikiria sana kwa watu wanomwita Magufuli mshamba, nimeshindwa kuelewa ushamba wake ni nini hasa, maana kwa kiasi fulani wao ndio wanaonekana washamba.

Nimefikia hatua ya kuamini kuwa hao watu wako on code na wanamaanisha kitu tofauti na neno lenyewe.
 
Back
Top Bottom