Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Dont start a battle that you cant hundle ..Kisumu is way better than Arusha ..I spent a night in Moshi after visiting the hotspring and the town doesnt even have 4G network I spent the other night in Arusha and wasnt impresed as I expected Although its better than Moshi.View attachment 1151900View attachment 1151901View attachment 1151902View attachment 1151903View attachment 1151904View attachment 1151905
Arusha👇👇👇👇
79C6C54D-8E18-424C-AC26-EF9BC5FC52B3.jpeg
B4F9374F-10E7-4D35-B18C-B4826F3E0268.jpeg
37BBA2B0-27B5-4D95-9AAE-AAFA7AA7AD90.jpeg
94BFA0E5-11E8-429E-854B-0027DC9FD816.jpeg
1B725A78-AB54-4D9F-8BCD-8692809AFEAF.jpeg
14ED7842-43CA-48D8-9D6C-2A08D8857034.jpeg
8E0341FD-C5B3-482D-B36F-881213E4F0B7.jpeg
05381C91-A36C-4045-9034-CDAB7357CCAD.jpeg
1E9915AB-54F7-4569-9C40-C1E83A62B70E.jpeg
DF630EB8-00B2-4D46-91B9-C9D4CF657616.jpeg
 
JE TANGANYIKA NI MEMBER WA UN au AU?? Mi najua jamuhuri ya muungano wa tanzania...na yote hyo imeletwa na zanzibar (NCHI)+tanganyika(NCHI)au unapinga
Buda jitihada unazozifanya kujiaminisha kuhusu Tanzania bara na visiwani ni sawa na kusukuma ukuta
 
There's simply no comparison between Nairobi and Dar sababu Nairobi ni headquarters ya kimataifa ...Nairobi got many multinational companies , various int'l organizations , transport hub,far better infrastructure and the choice destination for tourists and int'l conventions.Dar can't touch that ,not even close.
 
Jana asubuhi nilikuwa naangalia video ya TRC ya sabasaba wakionyesha jinsi Zambia ilivyopigia salute mradi wa sgr. Sasa kwenye model ya treni ndogo waliyoonyesha ilikuwa ni treni ya ICE ambazo huwa zinatumika Germany na ICE ni treni zilizotengenezwa na Siemens na Tanzania nilisikia kuwa imetoa order ya treni zinazotengenezwa na Siemens. I speculate kwamba treni zinazokuja zitakuwa za aina hii ambayo ni amazing!!! (tutatumia treni kama zinazotumika kwenye Europe's largest economy). Ila kama ni kweli wabadilishe rangi maybe kuipa a lil bit of a Tanzanian touch. Hata hivyo hii ni speculation yangu tu, serikali inajua itakacholeta.View attachment 1150971View attachment 1150972
Tayari tulishasema hapo awali humu kuwa treni zetu zitatoka Siemens....
I hear China ameshinda tender, ila analeta za ukweli siyo kama alizo wabambikizia wakenya.
 
Huku ndio Chato? Mungu airehemu LDC. Looks like the only tamarcked thing in that entire region is the airstrip runway. Not even the road leading to the airstrip is tarmacked!!! Na huku ndani utasikia wanavypiga domo vile Tanzania imeendelea kushinda Kenya na kwamba it has more tamarcked roads than Kenya. Stick to your lane guys. Hii ni aibu kubwa
 
There's simply no comparison between Nairobi and Dar sababu Nairobi ni headquarters ya kimataifa ...Nairobi got many multinational companies , various int'l organizations , transport hub,far better infrastructure and the choice destination for tourists and int'l conventions.Dar can't touch that ,not even close.
Hahahaha, tunaangalia mambo ya msingi kama vile
1) Housing
2)Public transport
3)Water supply
4)Sanitation
5)Cost if living
6)Security
7)Employment
8)Health services accessibility
9)Availability of electricity at affordable prices

Hayo ndio mambo yanayoufanya mji kuitwa umeendelea, sio huo ujinga wenu wa kufurahia International HQs wakati millions wanaishi katika slums, na bado Cholera ni tatizo katikati ya Nairobi
 
Taja ni kipi Kati ya hayo mambo ulivyotaja hapo juu Dar inashindia Nairobi na ulete evidence, sio mambo ya kutoa akilini na kuleta hapa bila dhibitisho
 
Back
Top Bottom