Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_20170510_205312_421.JPG
 
The 221 Million Sportpesa winner is already spending the money!!! He just bought a Mercedes Benz worthy 33 million
Someone should have advised him

samuel-abisai.jpg

samuel-abisai0.jpg

samuel-abisai.jpg
at least saa ii atakua anaget poosay zote zilikuwa zikimlenga before. but poosay zote zinakam na gharama na maintenance ya io gari pekee is going to milk the money remaining in the account dry. having that car around needs a good neighbourhood too.
 
Aliye buni na wahusika wote wa hili jengo wachukuliwe atua stahiki ya kufikishwa mahakamani
How can you design ugly jengo like this[emoji15] half of it mnara urefu wa jengo na hilo LA mbele wamepishana kwa mnara tu
Umejiuliza huo mnara ni wa nini, ama unadhani ni wa kuanikia nguo
 
Umejiuliza huo mnara ni wa nini, ama unadhani ni wa kuanikia nguo
Jengo baya sana ata Kama mnara unakazi wangetafuta njia nzuri ya kuweka izo kazi badala ya nusu ya jengo kuwa mnara ndio maana nimesema wabunifu wachukuliwe atua
 
Sometimes ukweli usemwe Una compare jengo nusu mnara and this ,aliye buni ili jengo apa apewe heshima zake sio aliye buni mnara Kyle Kenya au alikuwa anajenga mnara wa babeli[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
C067SUDWQAEERWw.jpg
 
The 221 Million Sportpesa winner is already spending the money!!! He just bought a Mercedes Benz worthy 33 million
Someone should have advised him

samuel-abisai.jpg

samuel-abisai0.jpg

samuel-abisai.jpg
Sifa za kijinga, sasa hata kama kashinda ww umefaidika
The 221 Million Sportpesa winner is already spending the money!!! He just bought a Mercedes Benz worthy 33 million
Someone should have advised him

samuel-abisai.jpg

samuel-abisai0.jpg

samuel-abisai.jpg
SIFA ZA KIJINGA, WAKENYA KWA ULIMBUKENI BASI TU!
 
Sometimes ukweli usemwe Una compare jengo nusu mnara and this ,aliye buni ili jengo apa apewe heshima zake sio aliye buni mnara Kyle Kenya au alikuwa anajenga mnara wa babeli[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] View attachment 507437
Mkuu,, aliyebuni hili jengo pia ni mKenya!!! kwa hivyo kuwa wa kwanza kuwapa waKenya heshima yao
 
Sifa za kijinga, sasa hata kama kashinda ww umefaidika

SIFA ZA KIJINGA, WAKENYA KWA ULIMBUKENI BASI TU!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Heshima imfikie mbunifu,ila kwanini amewaacha wakenya wenzake wanajenga mnara wa babeli [emoji15]
huo mnara uko na kazi yake. halafu si makosa yako kwa sababu hamuna uzoefu wa majumba marefu darislum. ndio mumenza jana wakati sisi tuliyakuta tayari keshajengwa enzi za babu zetu
 
huo mnara uko na kazi yake. halafu si makosa yako kwa sababu hamuna uzoefu wa majumba marefu darislum. ndio mumenza jana wakati sisi tuliyakuta tayari keshajengwa enzi za babu zetu
Povuuuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom