Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongo
26192055643_78f5d3b7a3_b.jpg
 
The companies it has very huge,tullow oil,transcentury ltd,civicon ltd
Yet it hardly ever features on the limelight, try looking for pictures online and you can hardly get any. Chini ya maji...
 
The 221 Million Sportpesa winner is already spending the money!!! He just bought a Mercedes Benz worthy 33 million
Someone should have advised him

samuel-abisai.jpg


samuel-abisai0.jpg


samuel-abisai.jpg
 
heheee....maskini akipata m*tako hulia mbwata.the Idiot who came up with this old adage was a genius or they could see the future of this mega jackpot winner
 
ndg. nimejaribu kupitia comment zako kadhaa mpaka kufikia kisa cha kutoa namba yako ya simu.

you seem to be stranger in in this side ,one thing you need to know is that kenyaforum is a male dominated forum.huku hakuna watoto wa kike.

that being said,nakushari kama unatafuta rafiki kike jamiiforum,hiyo namba yako ya simu nenda kaiweke hadharani jukwaa la MMU(mahusiano,mapenzi na urafiki).

huku hutapata matokeo unayoyatarajia,sana sana utajikuta unapgiwa simu na "mabahasha".
Annael ichoboy01
Point of correction,sipo kusaka lolote so usidhani naweza fanya ujinga huo,ndoa maana umeona nachat kwa lugha rahisi na uelewa,sijatukana...elewa nime mwambia jamaa namba ya whats app na uwez piga ukanipata,pili siwezi tuma kazi zangu hapa kisa kumfurahisha mtu,najua all forum na miiko yake,hakuna sheria inamkataza mtu kutoa namba,pia sio kila mtu hapa ni mjinga wa kusaka wanawake,tatizo kubwa la wengi ni poor thinking.Well if kusema yule jamaa anayebishana bila ethics anifate nimpe details anazotaka ni kosa just ignore.Then sorry kwa miss interpritation....
 
Povu la nini sasa?
Hatujakuuliza kuhusi unakaa wapi wewe ndiye umesema unakaa kimara. Sasa tunakuuliza details unawaka.
Wewe ndiye ulisema una design jengo kariakoo. Sasa tunataka kujia jengo gani unabwatuka. Acha mbwembwe. Halafu unaleta namba ya simu. Sisi tunahitaji email yako
Weka email tutakutafuta.
Sio povu unataka details ungefata simple procedure...then uelewa wako ni mdogo,ushazoea kubishana kwa mbwebwe bse hujui nn waelezea,pia email yangu ni strickly kwa bussiness,even namba nlokupa haina mahusiano na kazi ni ya kuchat ukipiga uwezi nipata....
 
Sio povu unataka details ungefata simple procedure...then uelewa wako ni mdogo,ushazoea kubishana kwa mbwebwe bse hujui nn waelezea,pia email yangu ni strickly kwa bussiness,even namba nlokupa haina mahusiano na kazi ni ya kuchat ukipiga uwezi nipata....
Basi wewe ni mshamba. Unaweka namba ya simu hapa lengo lako ni nini.
You are very uncouth. You can not do anything. You are too poor. From the mind to your body shows how you are uncouth.
 
Back
Top Bottom