Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa jinsi pro Tzn blind praise team wanavyoongea nikajua huko northern Kenya ni kuna ngamia na punda tuu kumbe hata huko kuna maendeleo.
Sishangai sana maana uchumi wa Kenya ni mkubwa sana
Uchumi wa kenya uko kwenye makaratasi with 64% debt to GDP ratio ndio maana over 65% ya budget yenu yote inatumika kulipa madeni😆😆😆😆😆😆
 
Huu ni utumbo gani???[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] hebu kueni serious plz
Heheeee!!!niletee hzo za kwenu...mwenzako ywapiga hela wewe unaona utumbo...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Muombee biashara yake ife[emoji382][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382]
 
Lamu, Turkana, Masabit, Moyale kote huko njaa tupu na Ukame,
Watu wanakunywa mikojo ya Punda.
We waijua lamu kwel au waiskia...,moyale je?...

Duh!!!yaonyesha kile kipigo cha turkana cha juzi bado kinawazuzua...bado huamini bro kuona turkana imesonga angalau kiasi...

Siri yake ugatuzi...2013-2019 turkana hvo vyote vilikuwa havipo....ugatuzi hoyee...ndani ya miaka sita turkana tayari imeanza kuipa bukuba rival
 

Apart from The slum city of Nairobi,
Kwengineko Kenya yote ni Ufukara na Funza Njaa. Everybody knows.
Ulifananisha Bukoba na Kule Kwenye Njaa kali Tukana. Ukala za uso
 
Ni tanzania pekee, bila kusahau kwenye lakes, kwote tumekamata. Kweli tuna haki ya kuwa the blues. Mungu ibariki Taifa Stars
 
Apart from The slum city of Nairobi,
Kwengineko Kenya yote ni Ufukara na Funza Njaa. Everybody knows.
Ulifananisha Bukoba na Kule Kwenye Njaa kali Tukana. Ukala za uso
Lamu hyo...umelianzisha...
 

Attachments

  • FB_IMG_15612817172812533.jpeg
    25.5 KB · Views: 20
Huu ni utumbo gani???😆😆😆😆 hebu kueni serious plz
Mchina aliwaweza kwakweli. Duniani tunafikiria namna ya kuepuka usumbufu, wao wanaongeza usumbufu
🤣 🤣 🤣 Unapanda hivyo vipanya then ukifika kwenye terminal unapanda juu -> unashuka -> unaingia kwenye train, utadhani kuna mto katikati ya terminal
 

Attachments

  • FB_IMG_1561266099615.jpeg
    30.9 KB · Views: 23
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…