Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii sio Kenya ya tisini kila mkoa na kila gatuzi limejengwa walikua wanashoboka wakidhani turkana ni kama vile vikoa vya kwao vya kipumbavu!. Turkana licha ya kua na matatizo ya ukame wamejizatiti kuijenga.
Hebu leta picha.
Maana mwenzako anatuletea mapori humu na majangwa.


Count gani ya Kenya yenye vijiji vitamu kama hiv vya Bukoba?
 
Gamora umekula za Uso baada ya kuchokonoa Bukoba,
And I Game Over give you freedom to chose among any of these regions of Tanzania and ask a showcase..
Iwe Tabora, Kigoma, Musoma, Moro, Tanga, Iringa, Moshi,Songea, Mtwara, Sumbawanga, Dom, Zenji, nk
Vs turkana...nko sawa
 
Nakwambia mwanangu huyu boya nitampa vidonge akitaka ameze au ateme shauri ni ya kwake.
Vidonge vikwapi naona umepotea upo lakiniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…