Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A wapi....km receipt mnakatia ndani ya basi usiogope kusema...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unazuga wapi stage ya nairobiπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† yani heri unioneshe choo cha bar kuliko bus stage ya nairobi
 
Hapo ilikua bado hawajaifungua punguza mawazo sisi hatujengi vitu ovyo kama ile sgr ya kenya inayoishia maporiniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Weka picha ya wakati inatumika na Kama hamna basi ni white elephant 🀣🀣🀣
 
Weka picha ya wakati inatumika na Kama hamna basi ni white elephant 🀣🀣🀣
Bila shaka umeumia sana kuona mkoa wa katavi una bus stage ambayo ni ndoto kenya nzimaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Bila shaka umeumia sana kuona mkoa wa katavi una bus stage ambayo ni ndoto kenya nzima[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mnakatia receipt wapi..na waiting lounge ziko wapi...bwahahaa...au wanakaa hapo nje kupigwa na vumbi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
White elephant haiwezi umiza mtu...weka picha ya mabasi na abiria wakiziabiri na kushuka kwenye white elephant stand....We are always right about Tz...hapo mlichezewa karata na CCM. Weka picha na Kama hamna nyamaza.
Bila shaka umeumia sana kuona mkoa wa katavi una bus stage ambayo ni ndoto kenya nzimaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Meanwhile Lamu vs Bagamoyo Port
Lamu kubwa kuliko Dar Port

Bagamoyo Port
 
White elephant haiwezi umiza mtu...weka picha ya mabasi na abiria wakiziabiri na kushuka kwenye white elephant stand....We are always right about Tz...hapo mlichezewa karata na CCM. Weka picha na Kama hamna nyamaza.
Anaimba bus stage na wakati hta waiting lounge hamna...ni kukaa kwa ma benchi hku ukipigwa na vumba na moshi wa mabasi
 
Mjengo mmoja ndio umeu post mara kumi...bwahahaaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…