Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionyesheshe Hospitali ya Turkana, sio jina au chumba kimoja, onyesha jengo zima. Mlipofanya Ugatuzi, Hospitali zote za iliyokua mikoa mkaita jina la Referal Hospital. Onyesha referal Hospital ya county ya Kwale tuone, hamna kitu, wote wanakwenda Mombasa.
 
Kwhyo referral ni mjengo sio vifaa angalau vya kukidhi mahitaji ya wanaotibiwa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kwhyo referral ni mjengo sio vifaa angalau vya kukidhi mahitaji ya wanaotibiwa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Referal Hospital lazima iwe na majengo, vifaa na wafanyakazi wenye SIFA, hii tabia yenu ya kununua CT scan moja na kuipeleka katika Hospital ya mkoa na kuibadilisha jina kuwa referal Hospital, hata huku kwetu ilifanyika, lakini awamu ya Magufuli ilipoingia, hizo hospital zilishishwa daraja.
 
Nani kakwambia county n mkoa...mbna waumia sana kijana....km kwenu vitu hvo vipo sehemu chache tu kubali...


Anyway...tuanzie neno referral hospital...kw akili yako hyo ni hospitali ya aina gani...manake naona kimombo kinakupiga chenga km ilivyo kawaida yetu wengine ambao sio lugha yetu asilia
 
Tunajenga 744km kwa pamoja phase one and two mbona unawasiwasi sana hakuna chuma cha mchina hukuπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Wapi Dar to Moro Kwanza juu haijakamilika? Hebu weka Dar to Kibaha tuone Kwanza...naona SGR ikigeuka kuwa Bagamoyo πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…