LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Wewe ni Mtanzania mwenye high IQ. Sijawai ona mTZ kama wewe kwa hii forumView attachment 1131681
Kaka mtanzania nakuheshimu sana kwa kutambua hili ...huu ndio mwanzo wa kusonga mbele tambua hali yako na kuikubali Kisha weka mikakati ya kujiinua.. Kuna sehemu kadhaa ambazo tz imeishinda Kenya kama vile kiswahili sanifu.. Nchi kubwa.. Amani.. Uimbaji.. Kwa haya niliyo ya taja.. Ukimsikia mkenya yeyote akijisifu Kwa haya.. Huyo basi ni mpumbavu...kwa hiyo tukubali ya kuwa Kenya iko Juu ya tz Kwa mambo kama bara bara, majengo.. Uchumi nk
Sasa ww IQ yako haifiki 45 unawezaje ona ya mwenzio Ni kubwa?Wewe ni Mtanzania mwenye high IQ. Sijawai ona mTZ kama wewe kwa hii forum
IQ yangu ni ya 151, tusibishane pleaseSasa ww IQ yako haifiki 45 unawezaje ona ya mwenzio Ni kubwa?
Washaanza kupoteana tenaAlikwepa swali langu ndio maana unaona anahangaika na NHIF๐๐๐๐
Bado kidogo tu ungekua retarded [emoji23][emoji23][emoji23]IQ yangu ni ya 151, tusibishane please
Kulingana na baadhi ya wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
| STAT | Kenya | Tanzania | HISTORY |
|---|---|---|---|
| Commercial energy use | 514.5 Ranked 94th. 13% more than Tanzania | 456.62 Ranked 102nd. | |
| Crude oil >Production | 0.0 Ranked 146th. | 10 bbl/day Ranked 130th. | |
| Electric power consumption >KWh | 6.51 billion Ranked 105th. 53% more than Tanzania | 4.27 billion Ranked 120th. | |
| Electric power consumption >KWh per capita | 155.02 Ranked 126th. 68% more than Tanzania | 92.16 Ranked 132nd. | |
| Electrical outages > Days | 83.6 days Ranked 1st. 38% more than Tanzania | 60.64 days Ranked 3rd. | |
| Electricity >Consumption | 6.15 billion kWh Ranked 72nd. 81% more than Tanzania | 3.4 billion kWh Ranked 87th. | |
| Electricity > Consumption > Per capita | 128.13 kWh per capita Ranked 21st. 59% more than Tanzania | 80.79 kWh per capita Ranked 135th. | |
| Electricity >Consumption per capita | 125.42 kWh Ranked 20th. 62% more than Tanzania | 77.38 kWh Ranked 128th. | |
| Electricity >Installed generating capacity per thousand people | 41.51 kW Ranked 155th. 2 times more than Tanzania | 18.7 kW Ranked 170th. | |
| Electricity >Production | 7.33 billion kWh Ranked 70th. 70% more than Tanzania | 4.3 billion kWh Ranked 82nd. | |
| Electricity production > KWh | 7.85 billion Ranked 101st. 48% more than Tanzania | 5.3 billion Ranked 115th. | |
| Energy use > Kg of oil equivalent per capita | 480.13 Ranked 117th. 7% more than Tanzania | 447.57 Ranked 118th. | |
| Gasoline > Pump price for gasoline >US$ per liter | $1.37 Ranked 91st. 5% more than Tanzania | $1.31 Ranked 98th. | |
| Oil > Consumption | 76,000 bbl/day Ranked 81st. 2 times more than Tanzania | 34,000 bbl/day Ranked 102nd. | |
| Oil > Consumption > Per capita | 1.97 bbl/day per 1,000 peopl Ranked 6th. 3 times more than Tanzania | 0.691 bbl/day per 1,000 peopl Ranked 152nd. |
Mwenzako kanielewa tayari ๐๐๐usiargue na uchiboy, atakuambukiza ujinga. Kwake logical reasoning hakuna
Sasa nimejua kwa nini akili zenu hazieleweki. Meshaathirika na manipulations za maneno ya kikoloni, hadi huruma. Ila watu ambao wanawapaga makavu live ni wachina.Wewe ni Mtanzania mwenye high IQ. Sijawai ona mTZ kama wewe kwa hii forum
Hio ni 175m ksh bro usijichanganye๐๐hio ni like 15million Ksh, not bad
Alikwepa swali langu ndio maana unaona anahangaika na NHIF[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Kwann uogope hapa tatizo lako nn ๐๐Mada yako ifungulie uzi
I can see nyang'aus u r not poorGovernment hospital my foot...almost every kenyan has an insurance with NHIF We can all go to these hospitals ....we are are not as poor as the tanzajingans
Hivi watanzania huwa mnaenjoy aje vitu kama movies, wakati zote zina ongewa kwa kimombo,Sasa nimejua kwa nini akili zenu hazieleweki. Meshaathirika na manipulations za maneno ya kikoloni, hadi huruma. Ila watu ambao wanawapaga makavu live ni wachina.
Maneno ya mzungu kama scripts vile, akikutamkia yanaanza kumanipulate ubongo wako unaanza kufanya atakalo, jambo jema ni kwamba it does not work on us.
Yaani vichwa vyenu ni sawa na windows huku vyetu kama ubuntu, haturuhusu mzungu atumanipulate kijingajinga. Endeleeni kutuita wajamaa hivyohivyo huku mkiendelea kuwa vulnerable mpaka ifike siku mnajikuta hamjielewi kama nchi ni yenu au la!
kwa raha zetu hebu cheki ma pozI can see nyang'aus u r not poorView attachment 1133248View attachment 1133251
Tatizo langu uzi ufunguliwe...wala sina lingine[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwann uogope hapa tatizo lako nn [emoji38][emoji38]
Wenzako wanalipia umeme na kodi hao[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]I can see nyang'aus u r not poorView attachment 1133248View attachment 1133251
Weweee hilo ni dongo la mkamba, usiligeuzie kwetuHivi watanzania huwa mnaenjoy aje vitu kama movies, wakati zote zina ongewa kwa kimombo,
si hata mtanzania anaweza kunywa dawa ya kuuwa paqnya kwa kukosa kuelewa maagizo yaliyo andikwa kwa kimombo
Bagamoyo sio imekufa tumezuia kutokana na masharti ya wawekezaji lakini plan iko pale pale cha ajabu unaongea mambo ya lappset wakat ethiopia yuko djebout kaekeza billions of shs๐๐๐ na kuna mchumi wenu alisema sasa mujiandae kulipa 2.5trillion ksh loan ya lamu port maana harufu ya white elephant ishanukia๐๐๐
Isiolo airport ndio hio imegeuka kua pori la ngedere๐๐๐๐