Search mbona we mvivu😆😆😆 na ueke akilini tanzania ni kubwa mara mbili ya kenya usisahau hio
Search uilete hapa acha maneno mengi😆😆😆😆 aliekwambia ukubwa haujalishi nani???Ukubwa haujalishi
Tanzania pia ni tajiri sana kuliko kenya
Utasema sewage % ya tanzania ama
Search uilete hapa acha maneno mengi😆😆😆😆 aliekwambia ukubwa haujalishi nani???
Kwan nimekuletea nn hapa😆😆😆 which developments ??? Ushuzi mtupuNi search nn .????
Ww ulisearch ???
Obviously when it comes to development matters Kenya beats all east African nations
Umekasirika😆😆😆😆and so what ?????
Kwan nimekuletea nn hapa😆😆😆 which developments ??? Ushuzi mtupu
Umekasirika😆😆😆😆
So huna imani na daily nation😆😆😆Umeleta tweet ..
Ni swali nimekuuliza and so what
I trust daily nationSo huna imani na daily nation😆😆😆
I trust daily nation
Leta percentage ya Tanzania ya sewage connection tucompare numbers
That is all
Tunaskia raha hvo😆😆😆😆
Hela za wakenya ndio zinawaeka hao jamaa mjini....endeleeni kulima tu sisi tutanunua angalau mpate hela za kujikimu hko ldcWakenya tumawalisha sisi ndio mnakuja kupata nguvu ya kututukana humu, pumbavu Nyie muwe na adabu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sifa za ki ldc hzo....ongeza na pesa za ndaniUwiiiii, Kenya inabaraka?, unachekesha watu, nchi iliyojaa Tribalism, corruption, insecurity, hunger, terrorism, clans clashes and draught bado unaita baraka, mungekua na ardhi yenye rutuba na MADINI kama huku ungesema nini?, kuhusu watu mashuhuri;
1) Julius Nyerere
2) Salim Ahmed Salim
3) Asha Rose- Migiro
4) Prof. Anna Tibaijuka
5) Mbwana Samatta
6) Diamond Platnumz
7)Ally Kina
Kenya huwezi kulinganisha na Tanzania, nchi yenye amani na umoja, kwenu huko watu wanauliwa kama kuku, Mimi nikifika Kenya huwa sitoki ninakaa ndani hadi siku ya kurudi.