Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If at all kungekuwa na kuaminiana kuacha nationalist politics nk hii region ingekuwa moto kuliko region yeyote ya Africa ila ndio hivyo tena naona kila mmoja anavuta kwake hata ile miradi ya pamoja ya kimkakati sioni tena
Na yote roho mbaya ilianzishwa na mkenya baada ya kujitenga na kua mbinafsi
 
As for my opinion ingefaa EAC countries zifanye specialization mambo ya car assembly yangebaki kenya afu agro processing plants,utalii na mining ingekuwa Tzn ingemake sense given nature ya kila nchi
Hii mambo ya magari ni too capital intensive na value chain yake ni ndogo sana compared na value addition agro industries ni vile huwezi chagulia investors au wako less informed
Naona Utalii mmeanza kurealise kuwa TANZANIA itawachapa iwe isiwe, Assembly plants zije tu. We are mkre than readu to accept as long as watatiina kufuata taratibu za TANZANIA ikiwemo local content stuff
 
If at all kungekuwa na kuaminiana kuacha nationalist politics nk hii region ingekuwa moto kuliko region yeyote ya Africa ila ndio hivyo tena naona kila mmoja anavuta kwake hata ile miradi ya pamoja ya kimkakati sioni tena
Mwalimu alitaka umoja utokee tangu the 60s ila wakenya wakaona hapana, wanajiweza kivyao, Amin na yeye akaleta udikteta, tukampindua na leo uganda iko hivyo kwa sababu ni sisi ndio tulicare. In the 80s TZ was richer than any EAC country, then tukaanza kusaidia Southern countries kupata freedom na tukaanza kuslow down.Tanzania siku zote imetaka ushirikiano na I hope mjue kurealize hilo leo na ndio maana siku zote mkiamua mambo yenu EAC TZ ikikataa ni kwasababu tunajilinda wenyewe. Eneo letu, umoja wetu, ushirikiano wetu na mali zetu. Subiri tu kidogo, Tanzania inakaribia kuwa the Germany of East Africa.
 
Nairobi
Africas tallest ferris wheel
D8pHTofXYAE_shR.jpg

D8pHLlLWwAAdX2u.jpg

__________________
Evidence Africa's tallest?
 
As for my opinion ingefaa EAC countries zifanye specialization mambo ya car assembly yangebaki kenya afu agro processing plants,utalii na mining ingekuwa Tzn ingemake sense given nature ya kila nchi
Hii mambo ya magari ni too capital intensive na value chain yake ni ndogo sana compared na value addition agro industries ni vile huwezi chagulia investors au wako less informed
Wacha ufala! Tanzania uses Toyota brands than any East African country! Why shouldn't we allow them to put up their assembly factory in Tanzania?
 
Naona Utalii mmeanza kurealise kuwa TANZANIA itawachapa iwe isiwe, Assembly plants zije tu. We are mkre than readu to accept as long as watatiina kufuata taratibu za TANZANIA ikiwemo local content stuff
Wacha ufala! Tanzania uses Toyota brands than any East African country! Why shouldn't we allow them to put up their assembly factory in Tanzania?
Dingi acha kupaniki kama umeguswa kwenye figo na kidole mm nmesema maoni yangu na nimetoa sababu cjakataza kitu sasa unapanik nn dingi
 
Back
Top Bottom