Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,072
- 17,789
Mitaa za watu wa kawaida Nairobi 👇👇👇🤣🤣🤣View attachment 1124143Sijawahi ona stendi kuu ya Nairobi,soko kuu la mji wa Nairobi . Barabara za mitaani hata mitaa ya watu wa kawaida Tu kama ilivyotanzania
Naonaga Tu maghorofa ya kilimani sijui Westland nk nk hi watu milion tatu waishio Nairobi wanaishi kwenye hizo estates.
Je wakisafiri wanashukia wap na je wakienda sokoni wanaenda wap
Hiv wanasafiri na nini?
Mitaa za watu wa kawaida NairobiSijawahi ona stendi kuu ya Nairobi,soko kuu la mji wa Nairobi . Barabara za mitaani hata mitaa ya watu wa kawaida Tu kama ilivyotanzania
Naonaga Tu maghorofa ya kilimani sijui Westland nk nk hi watu milion tatu waishio Nairobi wanaishi kwenye hizo estates.
Je wakisafiri wanashukia wap na je wakienda sokoni wanaenda wap
Hiv wanasafiri na nini?
Mitaa za watu wa kawaida Nairobi 👇 👇 👇 🤣 🤣 🤣Sijawahi ona stendi kuu ya Nairobi,soko kuu la mji wa Nairobi . Barabara za mitaani hata mitaa ya watu wa kawaida Tu kama ilivyotanzania
Naonaga Tu maghorofa ya kilimani sijui Westland nk nk hi watu milion tatu waishio Nairobi wanaishi kwenye hizo estates.
Je wakisafiri wanashukia wap na je wakienda sokoni wanaenda wap
Hiv wanasafiri na nini?
None of the above is Westlands, Kilimani or any other highend estate