dar ni ya nane.....tafuta source za mwaka 2016/2017 dar kadri miaka inavyokwenda inapanda bro tafuta chanzo cha sasa ivi........wew upo dar lakin nai haujawah fika nai kwa road ndyo wametuacha ni mji wakawaida tu uliza waliokaa mwaka 2000-20013 walituacha mbali ila kwa sasa ndugu usijidanganye wew unaishi kwa mazoea dar ipo changed sana.....tembea hafu ukipata pesa nendaga na nairobi....
Unaongea as if umefika Nai..mbuzi kabisadar ni ya nane.....tafuta source za mwaka 2016/2017 dar kadri miaka inavyokwenda inapanda bro tafuta chanzo cha sasa ivi........wew upo dar lakin nai haujawah fika nai kwa road ndyo wametuacha ni mji wakawaida tu uliza waliokaa mwaka 2000-20013 walituacha mbali ila kwa sasa ndugu usijidanganye wew unaishi kwa mazoea dar ipo changed sana.....tembea hafu ukipata pesa nendaga na nairobi....
Asante sana sipo kubishana na ww au yeyote sio kuishi nimekulia huko...hembu ww lete hizo fact dar ya nane...tatizo watanzania mnajua kubishana kishabiki...tusaidie hizo source za 2016/2017dar ni ya nane.....tafuta source za mwaka 2016/2017 dar kadri miaka inavyokwenda inapanda bro tafuta chanzo cha sasa ivi........wew upo dar lakin nai haujawah fika nai kwa road ndyo wametuacha ni mji wakawaida tu uliza waliokaa mwaka 2000-20013 walituacha mbali ila kwa sasa ndugu usijidanganye wew unaishi kwa mazoea dar ipo changed sana.....tembea hafu ukipata pesa nendaga na nairobi....
No tarred roads!!!bongo
Murram roads all overNo tarred roads!!!
hapo ni over 50km from city center my frnd😀😀😀😀😀😀 siunajua dar kubwa sana, nairobi inaingia mara tatuNo tarred roads!!!
we unajua kinachozungumziwa hapa au unabutuka tu kwasababu ya chuki za siasa????????Kuna mtu kaandika hapa dar ina master plan...akaleta sijui ile kigambon mpya....aende kigamboni now aone je wanaifata....leo morogoro road wanabomoa nyumba....
Kkoo haina mwelekeo....posta wanajengajenga...tuache ushabiki tujitahidi kujenga miji kwa mipango miji....dar ishakua kichefuchefu wajenge mikoa mingine tutafika.....
bora mim mbuzi kuliko wew chura....Unaongea as if umefika Nai..mbuzi kabisa
dar ni ya nane.....tafuta source za mwaka 2016/2017 dar kadri miaka inavyokwenda inapanda bro tafuta chanzo cha sasa ivi........wew upo dar lakin nai haujawah fika nai kwa road ndyo wametuacha ni mji wakawaida tu uliza waliokaa mwaka 2000-20013 walituacha mbali ila kwa sasa ndugu usijidanganye wew unaishi kwa mazoea dar ipo changed sana.....tembea hafu ukipata pesa nendaga na nairobi....
over 50km fro city center hapo😀😀😀😀😀😀 siunaju dar kubwa sanaMurram roads all over
siyo ubishani ujue vitu vyote tunavyotaka kuviibua humu .....tushavijadili sana...Asante sana sipo kubishana na ww au yeyote sio kuishi nimekulia huko...hembu ww lete hizo fact dar ya nane...tatizo watanzania mnajua kubishana kishabiki...tusaidie hizo source za 2016/2017
So mshajadil dar ina master plan...dar ya 8.....well weka factssiyo ubishani ujue vitu vyote tunavyotaka kuviibua humu .....tushavijadili sana...
kwanza nikuulize labda sikukuelewa vizuri .......ulisema nairobi kwa africa ipo nafasi ya ngapi kivip ama kwa upande gani ili twende sawa..?So mshajadil dar ina master plan...dar ya 8.....well weka facts
kingine tembea kigamboni ......ingia ndani ndani ndyo utaijua kigamboni kuna miradi kadhaa inaendelea na kingine kuwa plan ni mipango sikwasababu master plan ipo ndyo useme leo ianze tofautisha project na master plan .......chochote kinachojengwa kigamboni kwa sasa na hata baadaye vipo kwenye master plan bro.....shtukaKuna mtu kaandika hapa dar ina master plan...akaleta sijui ile kigambon mpya....aende kigamboni now aone je wanaifata....leo morogoro road wanabomoa nyumba....
Kkoo haina mwelekeo....posta wanajengajenga...tuache ushabiki tujitahidi kujenga miji kwa mipango miji....dar ishakua kichefuchefu wajenge mikoa mingine tutafika.....
Masaki au osterbay?bongo
oyesterbayMasaki au osterbay?