Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kenya wapo sahihi huoni kama eneo lao limeminywa. Nawashauri wakenya wasikubali kuachia ilo eneo. Ukifatisha matakwa ya Somalia basi Pemba itakua Kenya.
Halafu hii kauli ya kusema pemba itakua Kenya ni uzembe. Kumbuka Visiwa vya Pemba vilikua nchi, kama ilivyo madagascar, je utasema madagascar ipo msumbiji? au lesotho ipo sa? Hizo ni original boundaries which means Zanzibar ina boundary yake na ilipoungana na Tanganyika wakamerge boundaries, so kenya wanapoteza muda kuisakama TZ. Wao wajiandae tu kua land locked country
 
Hahahahhahha ndio maana kuna tofauti kubwa kati yetu na nyie fisi. Utakuta mkenya kasimama barabarani na mabango akitafuta ajira lakini Tanzania sijawahi kuona hata siku moja. Hatustoop to that level. Akifagia uwanja, akiosha vyombo, akilisha nguruwe, ni kazi ya mtu na ni heri inamuingizia pesa za matumizi. We mbwa una kazi gani haswa? au 46% labor force ya kunya ambayo haiko employed huku wazungu na wahindi wakizishikilia ajira, nyie mnafaidika nini? fikiri kabla hujaongea mbwa koko wewe
mkenya anategemea kuajiliwa wakati hizo zama zishapitwa na wakati wabongo huwa tunajiongeza hatutegemei ajira za kuajiliwa ndiyo maana hata kwenye gap la unemployment tumewaacha mbali
 
Kenya wapo sahihi huoni kama eneo lao limeminywa. Nawashauri wakenya wasikubali kuachia ilo eneo. Ukifatisha matakwa ya Somalia basi Pemba itakua Kenya.
Hilo swala la Pemba kuwa sehemu ya kenya mbona alijakaa sawa. Zanzibar ni nchi na yenyewe kuwa sehemu ya Tz haikuja automaticaly kutokana na Geographic location bali kutokana na makubaliano. Mimi nazani Kenya ata mpaka uki ikata pemba bado haitotosha kupeleka hiko kipande cha pemba kuwa kipo chini ya mamlaka za Kenya. Nahisi visiwa sheria yake ina tofauti kidogo, mwenye ufahamu anaweza akaliweka sawa.
 
Ni laana ya Kiaarabu kama ya kwenu.Si nyie tu mnalamba matako mwarabu hapo Dar is slum.Unakuta mzee mzima anafagia compound ya Mwarabu eti ako kazini.Bure Midanganyika hii
Oy nasikia kuna slum Mpya imegunduliwa naiii
 
Ushaanza kuleta njaa zako. Kumbe shida yako mikate jombaa? Ungesema mapema si unaliia kumbe unatafuta gia ya kuomba mkate
Halafu sikugundua hilo mwanzo! yaani kaongelea mikate kama mara mbili na siunajua asubuhi hii unakuta hata hajala 🤣 🤣 😂 😂
 
Now I can move on,stupid Danganyikans ambao wamejaa social media like green toilet flies like this...should not be allowed anywhere in this world to disport information.Wafie huko takataka ya minyani
Yaani we nyumbu haya yote yana wahusu ninyi maana ndio mna flying toilets, mnaishi kwenye majalala na pia hata partners wenu (wachina) walisema kenyans are stupid monk, kwa kukazia kawashusha kuliko hata nyani wa kawaida. KENYANS ARE STUPID MONK
 
Hilo swala la Pemba kuwa sehemu ya kenya mbona alijakaa sawa. Zanzibar ni nchi na yenyewe kuwa sehemu ya Tz haikuja automaticaly kutokana na Geographic location bali kutokana na makubaliano. Mimi nazani Kenya ata mpaka uki ikata pemba bado haitotosha kupeleka hiko kipande cha pemba kuwa kipo chini ya mamlaka za Kenya. Nahisi visiwa sheria yake ina tofauti kidogo, mwenye ufahamu anaweza akaliweka sawa.
Wanatest zali
 
Back
Top Bottom