Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leta evidence kwamba Sonko ameiba Mali ya Umma ,kama Ile evidence ya CAG ,Umma ulipoteza 1.5 trillion.
Hakuna sehemu serekali ya tanzania imepoteza 1.5 trillion hakuna na hutapata
Au unafkiri kununua ndege 6 kwa pamoja is a joke au tulipewa ndege bureπŸ˜€πŸ˜€

Soma hiii πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

shua mkuu
 
ni kweli mkuu ile ferry hainogi inaharibu movement za ubora kwa harufu za shombo
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]hiyo ndiyo barabara yao kuu yakuishow kwani huwa hawanaga nyingine kikubwa wazoee hao ndiyo wazee wa thika high way. ukimaliza hapo kote ni chaka
 
Hakuna sehemu serekali ya tanzania imepoteza 1.5 trillion hakuna na hutapata
Au unafkiri kununua ndege 6 kwa pamoja is a joke au tulipewa ndege bureπŸ˜€πŸ˜€
Soma hiii πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
kwhyo watanzania wamuani nani...CAG au kibaraka wa ccm jichoboy
 
Alaf utaskia hao hao wataiuzia serekali mara ya piliπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

kwhyo watanzania wamuani nani...CAG au kibaraka wa ccm jichoboy

Kwanza unajiskiaje ukiskia ofisi ya rais itatumia 500m ksh kila Mwezi ambayo ni 6b ksh per year alaf 11.2b ksh kwa ajili ya mshahara wa bwana mkubwa , hvi ni kweli wewe una ndoto bado ya kumiliki ardhiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Jamani kenyatta ajitokeze hadharaniπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…