Iko chini ya wizara ya ujenzi na uchukuzi ikisimamiwa Na TAMISEMI yeye kazungumza tu maana ni mradi ndani ya mkoa anaongozaHaliwezi kutatuliwa chini ya uongozi wa Yule sharobaro yeye kazi kuu yuaifanya ni kutafuta Kiki tu, Dar yahitaji kiongozi sio yule mzee.
Edited.Eti enhhhh[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 1097822
Hawa mbona wanapishana lugha?, huyu wa Uganda anazungumzia kwamba Uganda haitojenga SGR hadi Kenya wafikishe SGR yao Mpakani/Malaba, huyu Zuzu wa Kenya anazungumzia gharama za kukarabati reli ya Zamani na kuunganishwa kwa reli ya zamani na SGR hapo Naivasha, hii maana yake Kenya inaiambia UGANDA kwamba SGR haifiki Malaba kwahiyo hakuna SGR kutoka Mombasa hadi Kampala.BTW hii reli inafika Mwanza! Nimeskia kuna mkopo wa WB about to be issued for the remaining sections! Mganda amewadindia!
Labda tumpe sonko aongeze corruption na blunders
Hii Tamisemi ni nini? Maana karibu Tanzania yote hili neno lipo kila mkoa kuna office ya Rais TAMISEMI.Iko chini ya wizara ya ujenzi na uchukuzi ikisimamiwa Na TAMISEMI yeye kazungumza tu maana ni mradi ndani ya mkoa anaongoza
Uongozi wa Sonko huwezi ukaulinganisha na makonda,we vipi? Tembea Nairobi uyaone maajabu anayoyafanya Sonko.
Hawa mbona wanapishana lugha?, huyu wa Uganda anazungumzia kwamba Uganda haitojenga SGR hadi Kenya wafikishe SGR yao Mpakani/Malaba, huyu Zuzu wa Kenya anazungumzia gharama za kukarabati reli ya Zamani na kuunganishwa kwa reli ya zamani na SGR hapo Naivasha, hii maana yake Kenya inaiambia UGANDA kwamba SGR haifiki Malaba kwahiyo hakuna SGR kutoka Mombasa hadi Kampala.
Hii Tamisemi ni nini? Maana karibu Tanzania yote hili neno lipo kila mkoa kuna office ya Rais TAMISEMI.
Punguza hasira budaa kubaliana na ukweli😆😆😆Edited.
TA=TawalaHii Tamisemi ni nini? Maana karibu Tanzania yote hili neno lipo kila mkoa kuna office ya Rais TAMISEMI.
Atakwambia ni miaka minne iliopita😆😆😆
Pia ni don wa ngadaNitembee mara ngapi uozo mtupu hakuna mtu mpuuzi na hafanyi lolote kama sonko yeye scandle zake ni corruption na wizi wa pesa za umma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Leta evidence kwamba Sonko ameiba Mali ya Umma, kila mara nakwambia uwache story za kijiweni mlizo ambiwa na Babu na Bibi zenu hausikii.Nitembee mara ngapi uozo mtupu hakuna mtu mpuuzi na hafanyi lolote kama sonko yeye scandle zake ni corruption na wizi wa pesa za umma[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Okay ila hujanieleza hio wizara kazi yake ni nini?.Tamisemi ni wizara kubwa sana iliochini moja kwa moja na rais wa nchi
Hamna ukweli hapo maana miaka mitatu sasa hatujakua na mafuriko huku kwetu.Punguza hasira budaa kubaliana na ukweli[emoji38][emoji38][emoji38]