Time will tell, kwani unaenda kuzimu? si bado upo? then wait and see. Safari ya kwanza December mwaka huu, I'll make sure niende Moro na kurudi, It'll be history in the making...Nakuuliza wiye maana wewe ni 255, hio budget ya kujenga reli ni tofauti na ya kununua treni pamoja na mabehewa? Basi jiwe aliwacheza.
Mtaa Una maana zaidi ya hio unayoijua ,mtaa unamaanisha streets lakini mtaa pia unamaanisha kijiji au kitongoji kinachopatikana katika mji mkubwa .kwani wewe unadhani "estate" ni nini? maana mtaa ni "street" na huku hakuna mtaa wa mikocheni na mtaa wa oyesterbay bali ni maeneo ya mikocheni na Oyesterbay ambazo ni wards. ona hii, huo ni mtaa huo?View attachment 1091007
Sina, nenda ukaipigenimekwambia leta picha ya terminal, bla bla bla sitaki
Nipo na nitakuepo , nitasubiri uje unipe uhondo safari utakavyo kuwa.Time will tell, kwani unaenda kuzimu? si bado upo? then wait and see. Safari ya kwanza December mwaka huu, I'll make sure niende Moro na kurudi, It'll be history in the making...
Usijali, tena nitarecord video kabisa ya Journey nzima na kuipost hapaNipo na nitakuepo , nitasubiri uje unipe uhondo safari utakavyo kuwa.
Empty ata haitumikiFanya hivi, niletee terminals za "wilson" sio kuleta rooftops, hatupo makao makuu ya the CIA, ukiwa unagoogle, kula hivi kwanza
View attachment 1090901View attachment 1090902View attachment 1090903View attachment 1090905View attachment 1090906
kwasababu bado inajengwa. Ikiisha, we'll be open for businessEmpty ata haitumiki
Thanks for render😂😂😂😂if you have no idea you tanganyikas, hio barabara in front of one Africa place, that is heading to GTC Towers dyo inajengwa hivi
View attachment 1090829
Si dhambi kujiliwaza ila dunia nzima inajua ombaomba waliopo Kenya wanatoka Tanzania.
toa uchafu hiko ni kibuyu[emoji3][emoji3]Lazima building ing'areView attachment 1090158
No business will success there kama JKIAkwasababu bado inajengwa. Ikiisha, we'll be open for business
aaah kumbe TZ si fishing village
Asante kwa kunifungua macho Ichioboy
Mombasa si ligi ya Dar,mombasa moto🔥
View attachment 1090850
View attachment 1090851
View attachment 1090852
View attachment 1090854
[emoji23][emoji23]Kichwa cha train? Mbona sio kama bullet Train.
Hii quality iko chini tu sana
says a witch!!!!!!!! dua la kuku halimpati mwewe. Mtasema sana.... na SGR ilikuwa ni hivyo pia ila tunapita kama upepoNo
No business will success there kama JKIA
quality kama tu ya Nakuru,but ya mombasa iko poa kuliko hii
eti nini SGR yenu ni pesa ngapi inawapea,yetu ni functional yenu bado,shame on yousays a witch!!!!!!!! dua la kuku halimpati mwewe. Mtasema sana.... na SGR ilikuwa ni hivyo pia ila tunapita kama upepo
Hawawezi kuleta train nzima kutest, ndio maana wameleta kichwa. Train zetu hazitakuwa na vichwa kama zenuKichwa cha train? Mbona sio kama bullet Train.
Hii quality iko chini tu sana
Hii quality iko chini tu sana
Functional my assssss, 19th century trains, pili, incomplete, tatu underemployment of natives, nne, hadi three year olds pay adult fare prices. Functional? Shit NOeti nini SGR yenu ni pesa ngapi inawapea,yetu ni functional yenu bado,shame on you