Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 16,215
- 35,600
Mfamaji haishi kutapatapa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wanatamani kila kinachofanyika tz na wao wajichomekechomeke hahaha
๐๐๐ Sisi ndio viranja wa wachina Nashangaa wakenya wanafeli wapi wanachakazwa mpaka na vitoto vinavyonuka maziwahuyo mchina nyuma hapo kanifurahisha kweli kweli naona kaishika flag ya Tz kwa ufasaha zaidi utasema yeye ni mtanzania[emoji3][emoji3][emoji3] kasahau kuwa mwenzake ametoka kula kipigo
Ndii upo wapi uliyosema tayari yanatimia na watoto wameanza kusulubiwa na hii SgR๐๐๐๐๐๐๐๐
kujishebedua Na vitu vizuri vya wenzake, vyake ni vyake ni upuuuuuuuuziHivi hawa nyang'au wangeandika tu sevilla inaenda Tanzania kungekua na ubaya gani hadi waanze kujiweka naxwao eti sevilla inaenda kwa jirani wa kenya,wapumbavu sana hawa mungikiView attachment 1088493
Watu watapoteana..[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji38][emoji38][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Kenya si Switzerland dada. But by we are slowly deleting those kind of schools. Upgrade at a timeKuja utuoneshe wapi GDP ilipo๐๐๐๐
Nchi y posho nzuri na kitu kidogo hamuwez wasaidia maskiniKenya si Switzerland dada. But by we are slowly deleting those kind of schools. Upgrade at a time
Acha nikupe fact. Unajua TZ iko na more people in extreme poverty than Kenya. So acha kuongea kama nyinyi hamna povertyNchi y posho nzuri na kitu kidogo hamuwez wasaidia maskini
Ahahahah ila ni failed state with fake GDP ๐๐๐๐๐๐Kenya si Switzerland dada. But by we are slowly deleting those kind of schools. Upgrade at a time
Below poverty lineAcha nikupe fact. Unajua TZ iko na more people in extreme poverty than Kenya. So acha kuongea kama nyinyi hamna poverty
Iyo shule iko chini ya serikal Au wananchi? Wanachi wanaweza kua maskini lakin serikal yao ikawajengea shule boraAcha nikupe fact. Unajua TZ iko na more people in extreme poverty than Kenya. So acha kuongea kama nyinyi hamna poverty
Sasa ata ukilia fake gdp pph failed state ooh bla bla bla hamtatoka from among the poorest countries.Ahahahah ila ni failed state with fake GDP ๐๐๐๐๐๐
Ona mambo hayo๐๐๐๐๐bullet train
Ni public school. Na many public schools in Kenya ni mbaya. Ziliharibiwa wakati wa Moi. But since Kibaki era, zinaimproviwa. Some places are corrupt, but eventually zitakuwa betterIyo shule iko chini ya serikal Au wananchi? Wanachi wanaweza kua maskini lakin serikal yao ikawajengea shule bora
Zita? [emoji23] [emoji23] hasa iyo middle income siuongo kama shule kama izo bado ziko?nyie bado masikini hamjafikia mahali pakusema mmesogea...boresheni shule,vituo vya afya huduma za maji na umeme ndio urudi hapaNi public school. Na many public schools in Kenya ni mbaya. Ziliharibiwa wakati wa Moi. But since Kibaki era, zinaimproviwa. Some places are corrupt, but eventually zitakuwa better
LDC inajenga reli ya umeme bullet train kwa pesa zako na MLDC inakopa kujenga reli ambayo ni ya mwaka 50 iliopita๐๐๐๐Sasa ata ukilia fake gdp pph failed state ooh bla bla bla hamtatoka from among the poorest countries.
Bullet ikianza kufanya kazi come we talk mate
Huwezi pata kenya kwa list za kipumbavu kama hiziView attachment 1088749