Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimani we waiona kweli??
westlands yote waiona kweli??
๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜†๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
Kilimani ni utumbo bado ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€alaf munataka pambana na dar
 
Zungumzia mambo yanayokuza uchumi, sio majumba marefu ya watu binafsi ambayo hayawagusi wananchi wa kawaida walio wengi
Majumba haya marefu wakimalizika kujengwa yatakuwa na hoteli,malls,offices,, na hivyo divyo yatasaidia wananchi kwakuwa watapata kazi humo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ