Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ikiwa binadamu wenzao hawajui kuwajali hao mbwa itakuaje ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

 
Yani ku sign sio kujenga tofautisha vitu viwili hapo unaeza ku sign na pesa usipewe pia so usitudanganye kua mushaanza ujenzi wa BRT never ever sio leo wala kesho ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Pesa ya kulipa manesi hamuna hio ya kujenga mutatoa wapi????๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†

Unafkiri ujenzi wa BRT ni kama kula skumawiki mulikuja na pupa mukapoteza pesa za taxpayers kuchora barabara๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ