ndughuri msuya
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 2,165
- 3,373
Hawatamsahau mchina milele kawavisha jongoo. Reli imeishia porini alafu aliwafumba macho akachanganya mkataba SGR na bandari ya Mombasa, majuto ni mjukuu na janja ya mchina ni bandari tu anayotakaniletee ya kwetu inayotoa moshi hapa niione, hiyo ni illustration kuwa treni mlizopurchase ni za kizamani na ni low quality
View attachment 1084036
Hawa watu sijui walirogwa na nani😂😂😂[emoji23] [emoji23]
Juu ya makaratasi ni weweNdoto za kichaa underconstruction wapi???????😂😂😂😂😂 Au munajenga juu ya makaratasi 😅😅
2022Itaisha lini
Inaumbali wa km ngap2022
50+kmsInaumbali wa km ngap
Hiyo brt haina phases au ni kilomita moja tu?
Iko na phases tatu so far,first phase dyo inaendelea the other two phases pesa tushapewa from ChinaHiyo brt haina phases au ni kilomita moja tu?
mshapewa na china eh? hebu tuletee any source ya kutuambia implementation ya hizo phases na the amount of money mliyopewa na chinaIko na phases tatu so far,first phase dyo inaendelea the other two phases pesa tushapewa from China
Ubongo wao umejaa funza,inabidi wazidishe maombi kuondoa wale funza vichwani mwaowakenya hawana ujanja hapo ndiyo mwisho akili zao zote zimeishia nairobi[emoji3][emoji3][emoji3] outside mazingira wanayoishi ni panya watu tu
ChaiIko na phases tatu so far,first phase dyo inaendelea the other two phases pesa tushapewa from China
[/URL]Iko na phases tatu so far,first phase dyo inaendelea the other two phases pesa tushapewa from China
This is what happens when I press the link
[emoji3][emoji3][emoji3]hivi hiyo nchi ya kikenge yenye wasomi kuliko wote duniani na best university rank katika hii dunia ina matatizo gani[emoji3][emoji3][emoji3]?
Dar through Camera lenses
View attachment 1084987View attachment 1084988View attachment 1084989View attachment 1084990View attachment 1084991View attachment 1084992View attachment 1084993View attachment 1084994View attachment 1084995View attachment 1084996View attachment 1084997View attachment 1085000View attachment 1085001